Samsung galaxy S8 plus imegoma kuwaka

imezima kbs hata charge haiingii ..... yaan n kama imekufa kbs
umejaribu kuiacha kwenye charge kama masaa mawili hivi? sometime ikiisha kabisa chaji huchukua muda mpaka kuanza kuchaji tena.
 
jaribu kwenda setting kisha security kisha device administrator. kama ipo hio avg huko na imeekewa tiki litoe hilo tiki na ujaribu tena kuitoa.

Asante sana kiongozi nimefanikiwa.

Tatizo la kwanza, simu yangu memory yake iko full nimefuta picha,sm na whatupps charts zote lakini bado haikusaidia. Nikajaribu kuangalia nafasi kubwa iko kwenye system memory, applications na miscellaneous file. Kuna apps zingine huwa sizitumii kabisa kwani mimi sio mpenzi wa mambo ya kileo sana. Ila nashidwa kuelewa apps ambazo zinatumika kuiendesha simu ni zipi ili nisije futa nikaharibu simu yangu.

Tatizo la pili, kwenye simu kuna kitufe cha upande wa kushoto kile kinachotumika kama shortcut ya kuonyesha apps ulizofungua kwa sasa hakifanyi kazi, kiliacha kurespond kwa sababu ya tatizo la nafasi kuwa ndogo.
Simu yangu ni samsung SM - G531H

External memory card yangu ilifuta data zote kunauwezekano wa kuzipata? Ilikuwa katika hii simu kwa sasa nimeitoa.

Shukrani.
 
kitu kikubwa kinachokula mb kwenye simu ni video. iwe video iliochukuliwa na simu au uliotumiwa whatsapp inakula sana space.

fungua file manager kisha tafuta folder la whatsapp kisha tafuta whatsapp media kisha tafuta whatsapp video kisha nenda sent futa video zote. rudi kwenye whatsapp video kisha futa usizozitumia. angalia hapo nafasi inatosha?

kuhusi app kama hujaroot simu huwezi futa built in app hivyo futa app unazotaka kufuta bila kuhofia kufuta app za simu. sema tu kuwa makini unapoclear data kwa kupitia setting. mfano una app ya camera 360 unaweza ukafuta data zake ikafuta hadi picha ulizopiga na hio camera 360.
 
Chief-Mkwawa asee inazingua
IMEI yangu ni hii



Ila kila nikituma wananijibu hivi


Apa tatizo linaweza kuwa nini?
 
Kiongozi Mkwawa asante sasa kwa majibu yako. Sasa nikifuta hapo kwenye kubakiza data ndio sijui inabidi nifute tu halafu ni install upya. Ama unaweza nisaidia maelezo ikiwezekana.

Kuhusu external memory card kufuta data naweza zipata?
 
Simu zote za sumsung zina warranty na huo muda ukiwarudishia wanakupa nyingine but kwa namna ulivyoanza kuchokonoa itakukost.
Nahisi kama unatania vile hizo simu ukitumia after muda fulani lazima ikuambie uappdate hiyo oc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…