ndio ina box lake ila haina warranty.hiyo model naangalizia wap? cc:chif-mkwawaina warranty? peleka samsung wakakutengenezee. ukiflash mwenyewe n kutrip knox umevunja warranty. kama haina warranty una box lake? unaijua model ya hio simu?
angalia kwenye box, inatakiwa iwe ni model ya kimataifa ambayo ni G950Fndio ina box lake ila haina warranty.hiyo model naangalizia wap? cc:chif-mkwawa
naomba nikuangalizie kesho asubuh box la cm lipo ofisin,na mm nmeshatoka...hata hivyo nashukuru kwa msaada wako kaka yangu .angalia kwenye box, inatakiwa iwe ni model ya kimataifa ambayo ni G950F
Samsung isiyo na warranty umeipata wapi??? Ni made from Manzese??ndio ina box lake ila haina warranty.hiyo model naangalizia wap? cc:chif-mkwawa
sawa kama ni hio model nijulishe, tujaribu kuisajili na warranty.naomba nikuangalizie kesho asubuh box la cm lipo ofisin,na mm nmeshatoka...hata hivyo nashukuru kwa msaada wako kaka yangu .
asantee nashukuru!sawa kama ni hio model nijulishe, tujaribu kuisajili na warranty.
Nyeusi....Charger yake rangi gani?
Rangi ya charger yanini tena hapaCharger yake rangi gani?
ni inboxHabari za asubuhi.wakuu natumia Samsung galaxy s8 plus lakin ijumaa ilipata tatizo ni baada ya kuizima jioni.
Nilivyokuja kuiwasha ikawa inawaka alafu inaandika "installing system up date" alafu inaleta mandishi madogo mengi then inajizima.
Nimejaribu kwa fundi wa kwanza imeshindikana. Nimejaribu kwa fundi wa 2 nae nahis kashindwa wanasema inatakiwa kuflashiwa....msaada nimuonee nani simu n mpya ina week 3.nimeirekodi inavyofanya ila sijui jinsi ya ku upload video hapa.
npo dar es salaamUpo mkoa gani.
Usije ukawa umeuziwa s8 clone
nmejaribu kuku inbox lakin imenikataliani inbox
habari ya asubuh. . ni hii hapa SM-G955Uangalia kwenye box, inatakiwa iwe ni model ya kimataifa ambayo ni G950F
njoo ofisini kwetu.lina tibika tatizohabari ya asubuh. . ni hii hapa SM-G955U
hiyo ni ya marekani huwezi tengenezewa hapa Tanzania bure na samsung.habari ya asubuh. . ni hii hapa SM-G955U