Samsung galaxy s7 edge 4 sale..

Samsung galaxy s7 edge 4 sale..

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,229
No dent no scratch
Mpya kasoro box
Chaja bure
Kwa serious buyer 0687 089980
Mbagala
Bei 680.. inapungua kidogo.
DSC_4283.JPG
DSC_4285.JPG
 
Microsoft? Dah mfumo wake ni sawa na wa nokia lumia?

Kuna nokia lumia ya macrosoft ilinishinda kuitumia ngoja wapenzi wa mrengo huo watajisongeza

Ila utakapo gundua huwezi kuiuza kwa hiyo bei, nitakupa Laki na Nusu..
 
Duh! watu mna hatari kutoka laki sita mpaka laki tatu!
Unaona kabisa kama jamaa hawaijui hata simu yenyewe!!... 350k hata s6 hupati.. s7 edge dukani 1.5 bila risiti.. ukitaka risiti ni almost 2m.
 
Microsoft? Dah mfumo wake ni sawa na wa nokia lumia?

Kuna nokia lumia ya macrosoft ilinishinda kuitumia ngoja wapenzi wa mrengo huo watajisongeza

Ila utakapo gundua huwezi kuiuza kwa hiyo bei, nitakupa Laki na Nusu..
Kaka jambazi nahisi kama umevamia uzi!!..
 
Back
Top Bottom