Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Mbona hapo s5 ndio kubwa kwa specsSamahan wakuu nahitaji kujua Ipi ni bora zaidi na ipi inafaa kuliko nyingine kati ya sansung galaxy s5 na samsung galaxy j7 kwa ujumla ipi ni nzur kwenye kila kitu kwanzia specification mpka utumiaji
s5 iko juu mkuu,labda kidogo hiyo j7 waweza ukailinganisha na s4Samahan wakuu nahitaji kujua Ipi ni bora zaidi na ipi inafaa kuliko nyingine kati ya sansung galaxy s5 na samsung galaxy j7 kwa ujumla ipi ni nzur kwenye kila kitu kwanzia specification mpka utumiaji
j7 sijajua ubora wake s6s5 iko juu mkuu,labda kidogo hiyo j7 waweza ukailinganisha na s4
kwa hiyo chief kwa sasa mbadala wa s5 ni j7overall s5 ni nzuri kuliko j7 ila kuna mambo j7 ipo vizuri sana kama
-touchwiz mpya ambayo ni nyepesi sana na hailag kama touchwiz za zamani ambazo zipo note 4 kurudi nyuma, hizi j series na A series zinashare same software na note 5, s6, s7 na kuendelea
-battery ya j7 inakaa sana na chaji kuliko s5
-ni mpya ni rahisi kuipata na warranty wakati s5 sana sana utauziwa refurbished na kudanganywa kuwa ni mpya sababu hazitengenezwi tena
hapana mkuu mbadala wa s5 ni s6 na s7kwa hiyo chief kwa sasa mbadala wa s5 ni j7
ni kwa sababu mmeisifia hiyo j7 ndo maana nikauliza,hapana mkuu mbadala wa s5 ni s6 na s7
ni kwa sababu mmeisifia hiyo j7 ndo maana nikauliza,
pamoja sana mtaalam chief mkwawahapana nimesema overall s5 ni nzuri soma vizuri comment yangu, nilipoint tu mambo ambayo j7 ni nzuri kuliko s5.
s5 ina vitu kama
-display
-soc (processor/gpu)
-camera
-waterproof
-fingerprint etc
vitu hivyo huwezi vipata kwa ubora wa s5 kwenye j7