Samsung galaxy s4 to be launched in April

Samsung galaxy s4 to be launched in April

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Wale wapenzi wa android competitor mkubwa wa iphone na Nokia lumia bwana samsung galaxy s4 atazinduliwa April this year Samsung galaxy s3ilizinduliwa may lastyear lakini s4 atakuwa na super feature ya wireless charging na uwezo mkubwa battery wa 2600 mah tofauti na s3(2100 mah )
Naomba kuwasilisha
Sourcenews.cnet.com/8301-1035_3-57565335-94/samsung-galaxy-s4-reportedly-set-to-launch-in-april/
 
hv!!!! Hakunaga hakimiliki katika inventing!!! Maana hyo wireless chare baadae had G tide na Techno watakuja na zakwaoooo!!!
 
hv!!!! Hakunaga hakimiliki katika inventing!!! Maana hyo wireless chare baadae had G tide na Techno watakuja na zakwaoooo!!!

mkuu wireless charge toka samsung galaxy s3 inayo zipo cover tatizo ilikua ni kichajio.

Hawa wameeeka then wakaskilizia nani atatengeneza. Nokia katengeneza vitatu
-qi pad
-fatboy pillow
-jbl power up (speaker+charger)

toyota nafkiri kaeka magari mawili wireless charge.

Airport nyingi na sehemu za cofee kwa wenzetu huko wameeka kwenye meza.

So tegemea simu kibao zenye wireless charge mwaka huu maana accessories zishakua nyingi.
 
Wale wapenzi wa android competitor mkubwa wa iphone na Nokia lumia bwana samsung galaxy s4 atazinduliwa April this year Samsung galaxy s3ilizinduliwa may lastyear lakini s4 atakuwa na super feature ya wireless charging na uwezo mkubwa battery wa 2600 mah tofauti na s3(2100 mah )
Naomba kuwasilisha
Sourcenews.cnet.com/8301-1035_3-57565335-94/samsung-galaxy-s4-reportedly-set-to-launch-in-april/

kwa rumors zilizopo watatumia chip zao wenyewe za exynos octa core (yani zipo nane). Sasa processor ya octa core na battery ya 2600mah tegemea simu itakayokaa na charge masaa 5. Maana galaxy s3 ina quad core (nne) na battery ya 2100 lakin still haitoshelez matumizi ya siku.

Ila mi bado nasubiria nokia ya february nione atakavvyowatetemesha iphone na samsung.
 
anhaaa... Sasa inventor wakwanza wa hii kitu n naniii????
 
anhaaa... Sasa inventor wakwanza wa hii kitu n naniii????

kuna kampuni inaitwa Wireless Power Consortium ambao wao wamegundua qi standards. Hii qi stndard ndo nokia akaieka kwenye simu na kwenye accessories zake. So complete wireless charging ya kwanza kwenye simu imetolewa na nokia.

Lakini wireless charge inaweza gunduliwa na mwengine pia as long as itakua haina qi standard za hao jamaa.

Cha ajabu apple ame attempt kupatent wireless charge wakati hana kifaa kinachotumia hio technology na hata kwenye matangazo ya toyota na wireless charge yao walieka iphone 4s kama demo wakati nayo haina wireless charge. Mpaka sasa ni lumia 920, 820 lg nexus 4 na htc 8x ya verizon ndo zina hii mambo
 
hakuna kitu kama wireless charging. hiyo ya Samsung itatumia mart au utepe ambao utakuwa umeunganishwa na waya wa umeme halafu simu inawekwa juu yake.
ni sawa na kuchaji simu kutumia dock kama ninavyotumia mimi na Xperia Acro S
 
mkuu ipo wireless charging ukiangalia lumia 920 na jbl power up kabla simu haijaland utaona speaker inawaka taa lakini ukieka kitu chengine apart from simu kabla hakijaland haiwaki taa. So inamaana speaker ya wireless charging inadetect kabla kitu hakijafika hii ni tofauti na dock.

Hizi features za qi.
-inadetect kwa milimita 40 (sentimita 4) dock mpaka vigusane
-pad inaicharge simu kwa kutumia nguvu ya electro magnet

website yao hii hapa kama unataka kwenda
Wireless Power Consortium – creating a standard for wireless charging

tatizo letu tukiambiwa wireless si tunafkiria kitu kama wifi na hatuchukulii maana sahihi ya wireless ambayo ni kitu kisichotumia waya. Sio lazima distance iwe kubwa bali kutotumia waya kucharge ni sababu tosha ya kuitwa wireless
 
galaxy-s4.jpeg
 
hakuna kitu kama wireless charging. hiyo ya Samsung itatumia mart au utepe ambao utakuwa umeunganishwa na waya wa umeme halafu simu inawekwa juu yake.
ni sawa na kuchaji simu kutumia dock kama ninavyotumia mimi na Xperia Acro S
Inductive charging (also known as "wireless charging") uses an electromagnetic field to transfer energy between two objects. This is usually done with a charging station. Energy is sent through an inductive coupling to an electrical device, which can then use that energy to charge batteries or run the device.
Induction chargers typically use an induction coil to create an alternating electromagnetic field from within a charging base station, and a second induction coil in the portable device takes power from the electromagnetic field and converts it back into electrical current to charge the battery. The two induction coils in proximity combine to form an electrical transformer.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP]
Greater distances between sender and receiver coils can be achieved when the inductive charging system uses resonant inductive coupling.

Advantages

  • Lower risk of electrical shock or shorting out when wet because there are no exposed conductors, for example toothbrushes and shavers, or outdoors.

  • Protected connections - no corrosion when the electronics are all enclosed, away from water or oxygen in the atmosphere.

  • Safer for medical implants - for embedded medical devices, allows recharging/powering through the skin rather than having wires penetrate the skin, which would increase the risk of infection.

  • Convenience - rather than having to connect a power cable, the device can be placed on or close to a charge plate or stand.[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP]
Disadvantages

  • Lower efficiency, waste heat - The main disadvantages of inductive charging are its lower efficiency[SUP][citation needed][/SUP] and increased resistive heating in comparison to direct contact. Implementations using lower frequencies or older drive technologies charge more slowly and generate heat within most portable electronics.[SUP][citation needed][/SUP]

  • More costly - Inductive charging also requires drive electronics and coils in both device and charger, increasing the complexity and cost of manufacturing.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP]

  • Slower charging - due to the lower efficiency, devices can take longer to charge when supplied power is equal.

  • Inconvenience - When a mobile device is connected to a cable, it can be freely moved around and operated while charging. In some implementations of inductive charging (such as the Qi standard), the mobile device must be left on a pad, and thus can't be moved around or easily operated while charging.
  • Incompatibility - Unlike (for example) a standardized MicroUSB charging connector, there are no de facto standards, potentially leaving a consumer, organization or manufacturer with redundant equipment when a standard emerges

Wikipedia

kwan android n lazma kue na botton?

yah lazma utarudi vipi back? Utabonyezaje menu? Utarudi vipi home?

Ubuntu kama umeiona au meego au sailfish zina swipe ni balaa just unacheza na vidole tu bila button. Sjaicheki vizuri bb10 ila nao nahisi watakua hivo hivo maana wao nao ni meegowanabe
 
anhaaa.... Sami kwa ios
 
kwa rumors zilizopo watatumia chip zao wenyewe za exynos octa core (yani zipo nane). Sasa processor ya octa core na battery ya 2600mah tegemea simu itakayokaa na charge masaa 5. Maana galaxy s3 ina quad core (nne) na battery ya 2100 lakin still haitoshelez matumizi ya siku.

Ila mi bado nasubiria nokia ya february nione atakavvyowatetemesha iphone na samsung.

Mkuu Nokia anakuja balaa, juzi kati jamaa kaniachia Lumia yake for two hours only in exchange with my Sony Xperia ion, hii simu ni mwisho wa maneno. Am planning to abandon my Sony ingawa nimekuwa die hard fan wao for so long!
 
Back
Top Bottom