habari wadau, najua mshaskia kuwa kuna s4 lakini sio zile original zenyewe but hii ni clone yake tena iko vile vile copy right haina tofauti except low camera quality na haina sensors, iko faster na iko smooth kama ile original tu, na inakubali all apps from google playstore na hata samsung apps, bei ni laki 3 na elfu 20 mpya kabisa
Kula mia na hamsini!
mchina!
nitapokea 300 mkuu ni mpya
Dah, poa mkuu mi niliandaa hiyo kwa hiyo simu.
Pamoja mkuu!
mia semanini.....!
habari wadau, najua mshaskia kuwa kuna s4 lakini sio zile original zenyewe but hii ni clone yake tena iko vile vile copy right haina tofauti except low camera quality na haina sensors, iko faster na iko smooth kama ile original tu, na inakubali all apps from google playstore na hata samsung apps, bei ni laki 3 na elfu 20 mpya kabisa
Je hili neno: """"""""'Copyright """""""""""" huwa linatumiwa vizuri, au mimi ndiye sielewi?

Anamaanisha zinafanana, siyo haki miliki kama ulivyoiandika wee. Si unajua kikikristu kinatusumbua mkubwa, tuvumiliane tu hivohivo!
kilo mbili inalipa?
hailipi mkuu yani 300 ni last price. Watu wanauza 600
ukifikia kuiuza Tshs 250,000/= tafadhali nijulishe.
Ukitaka product kwenye kiwanda China inayofanana na product fulani, wanakuuliza, Unataka Original, Same-same au Duplicate? Hii inaweza kuwa Same-same.