Samsung galaxy s4 in 2021 is still usable?

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Habari wadau Samsung galaxy s4 android 5 ikiwa na 32gb rom 1.8ghz cpu with exynos 5 octa core na ram 2gb korean version.

Au ambao mnatumia international version vip bado inafaa kwa matumizi mbalimbali ukilinganisha na mid range za 2021?.
 
Habari wadau Samsung galaxy s4 android 5 ikiwa na 32gb rom 1.8ghz cpu with exynos 5 octa core na ram 2gb korean version. Au ambao mnatumia international version vip bado inafaa kwa matumizi mbalimbali ukilinganisha na mid range za 2021?.
Unaweza ukaweka custom Rom maisha yakaendelea, soc yake still ina nguvu kama lowend za sasa.

Issue ni kwamba ni soc ya 32bit, kuanzia 2015 64bit zilianza kutumika kwenye Android, hivyo kuna baadhi ya app zinaweza kukataa.
 
Vip kuhusu Motorola nexus 6 inafaa
 
Haina tofauti sana na s4, bado ni 32bit
Natumia x compact ila nilitaka second phone ambayo haitanisumbua hasa kwenye battery. A round 150k. Hii Sony iko vizuri haina shida
 
mhhh yaani ukaopt s4 kwa hitaji la kutosumbuliwa na betry!!!

haujuwaza vyema.

kwa bajeti hiyo si utafute hata a10 used hutawaza kuhusu bettery.
 
Natumia x compact ila nilitaka second phone ambayo haitanisumbua hasa kwenye battery. A round 150k. Hii Sony iko vizuri haina shida
Kama battery ni priority nunua hizi simu mpya zenye 5000mah kama Galaxy A02 utapata battery life kubwa.

Pia mimi natumia Xz1 compact inakaa sana na charge, unapata kwa kuagizishia around hio bei.
 
Thanks chief
 
Nataka nivute kacompact phone ka android kamoja.
Hii xz1 compact vs x compact wapi niangukie maana naona tofauti ni kdg mno.
Nani kamzidi mwenzie!??
 
Xz1 compact ni nzuri zaidi, kifupi ndio simu ya mwisho ndogo yenye perfomance na battery life ya maana kutosheleza matumizi heavy ya siku nzima.
 
  • Thanks
Reactions: PYD

Na je ni vitu gani kwenye kioo cha simu vinavyofanya kutumia simu vizuri juani?kioo cha amoled au ips lcd

Kwa upande wa picha napo je ukubwa wa ppi unamatter sana kwenye mwonekano wa picha unapoisafisha picha?

Na nini kinachofubaisha camera ya simu kadri simu inavyokua inazeeka?
 
Kinachosababisha uone vizuri juani ni nits, jinsi kioo kinavyokua na nits nyingi ndio jinsi kinavyoonesha vizuri kwenye jua. Kikawaida Lcd inakuwa na nits nyingi ila vyema uangalie specs zipo amoled nazo zina nits za kutosha.

Hapana ppi ni za kioo, ama unapo print, most of time kwa camera ni pixel tu. Uzuri wa picha ni combination nyingi ikiwemo lens, ukubwa wa sensor, aperture, software, stabilization na mambo kibao.

Na camera ya simu mkuu ni build quality tu, zipo camera nyingi simu za zamani brand kubwa hadi leo zinapiga picha vizuri.
 
mkuu nimeona matarajio ya s22 inawezakuwa na NITs 1800,aisee hiyo kioo isikie kwenye simu tu

kama ule mzigo wa billboard pale kiwanda cha nondo kamaka airport,yaani unawaka na jua kali lakini unaelewa kila kitu.
 
Samsung kwenye tv wana tech zao za Hdr10/Dolby vision zinataka kioo chenye mwanga sana, nahisi watakuwa wanaleta kwenye simu, quality yake ni nzuri sana.
 
Back
Top Bottom