Samsung galaxy s4 clone mzigo mpya kutoka uingereza umeingia

Asanteni wateja wangu mzigo mwingine(samsung galaxy s4 16gb zenye high resolution and 3g internet,android jelly bean 4.2 brand new ndani ya box zake) unaingia tarehe 7/5/2014 na sasa unapatikana kirahisi zaidi kwa wakala wangu japanese auto spares magomeni lango la jiji,pia tunauza kwa jumla huawei y300 kwa 120,000tsh oda zaidi ya kumi tu kwa simu hizi ndio zitapokelewa,tazama picha kwa maelezo zaidi
 
Clone ni magumashi,hakuna cmu hapo, anaetaka haende samsung tu anunue original
 
Hakuna galaxy s4 original kwa laki 4, tena clone labda laki na nusu ndo fair, acha wizi bana
 
acha uongo hakuna s4 clone inaingia UK hapa kwa dhumuni la biashara labda ushike mkononi kwa ajili ya matumizi yako binafsi.

ila kama umepambia tu kwa lugha ya kibiashara sawa mkuu.

Sure mkuu, hiyo ni lugha ya biashara tu, hazikai na charge, hata laki 1 mi ctoi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom