OTIS
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,251
- 828
mmhh laki 3 sio xi jimping hizoooo
Ukisikia clone wewe waelewaje.
mmhh laki 3 sio xi jimping hizoooo
to me any clone si imara. labda zako ni imara. Ukisema kutoka UK unamaanisha zinatengenezwa UK.....UK wanaclone simu?
acha uongo hakuna s4 clone inaingia UK hapa kwa dhumuni la biashara labda ushike mkononi kwa ajili ya matumizi yako binafsi.
ila kama umepambia tu kwa lugha ya kibiashara sawa mkuu.
clone la nini! si bora,ujikakamue ununue original