Nahitaji simu hii ikiwa mpya anayejua duka
kaka uwe makini tu usilizwe, watu wanashindwa kujua kuwa clone sio fake kama wanavozania, hizo s4 fake zipo na clone zipo. ukienda Dubai kuna mpka za laki tano, kwa hiyo be careful mana nimeanza kusikia story za laki '2 humu. Kwa ninavoijua clone yenyewe kwa bei hiyo utatafuta sana. Kama ni mkwawa najua anazo za ukwel na sidhani kama atakuuzia chini ya laki 3 na kuendelea
CHIEF MKWAWA alikuwa anashindanisha HIYO crone na phantom A+ akasema unawezapata mpaka 350000 hebu muulize...nenda mlimani city ktk duka la samsung andaa kuanzia laki tisa hadi milioni na mia mbil
Clone ni immitation, ni FAKE, haijalishi ina kiwango gani cha ubora, kama haijatengenezwa kwa ridhaa ya samsung ni fake. sema tu fake znatofautiana kiwango!kaka uwe makini tu usilizwe, watu wanashindwa kujua kuwa clone sio fake kama wanavozania, hizo s4 fake zipo na clone zipo. ukienda Dubai kuna mpka za laki tano, kwa hiyo be careful mana nimeanza kusikia story za laki '2 humu. Kwa ninavoijua clone yenyewe kwa bei hiyo utatafuta sana. Kama ni mkwawa najua anazo za ukwel na sidhani kama atakuuzia chini ya laki 3 na kuendelea
Kaa kinondoni kwa john fedha wanapitisha 250000 tu. Mpaka I phone
vipi kaka ubora wake kwa hiyo naomba specification zakeNina Samsung Galaxy S4 Clone yenye SPECS kama anazoziuza chief-mkwawa (https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/568615-samsung-galaxy-s4-clone-mpyaaa-2.html), yangu nimeinunua kwa Tshs. 180,000.00
Wengi wanasema mpaka K/koo na huko kuna Clone nyingi, hivyo unapaswa kuwa makini. J'4 nilizunguka maduka ya simu ya Posta kama 6 au 7 hivi cha ajabu ukimtamkia S4 Clone watakwambia hawaifamu, na ukisema ya kichina watakwambia hawana. Kwa kukusaidia mwone Chief Mkwawa ana jamaa yake anaziuza zikiwa mpya kabisa ndani ya Box lake.
Ni Pm nimekupm mkuu