Samsung galaxy s4 clone mpyaaa!!

Samsung galaxy s4 clone mpyaaa!!

Nahitaji simu hii ikiwa mpya anayejua duka

kaka uwe makini tu usilizwe, watu wanashindwa kujua kuwa clone sio fake kama wanavozania, hizo s4 fake zipo na clone zipo. ukienda Dubai kuna mpka za laki tano, kwa hiyo be careful mana nimeanza kusikia story za laki '2 humu. Kwa ninavoijua clone yenyewe kwa bei hiyo utatafuta sana. Kama ni mkwawa najua anazo za ukwel na sidhani kama atakuuzia chini ya laki 3 na kuendelea
 
Nadhani kuna watu wengi wanatumia S4 Clone ila hatufahamu maana kwa macho huwezi jua.
 
kaka uwe makini tu usilizwe, watu wanashindwa kujua kuwa clone sio fake kama wanavozania, hizo s4 fake zipo na clone zipo. ukienda Dubai kuna mpka za laki tano, kwa hiyo be careful mana nimeanza kusikia story za laki '2 humu. Kwa ninavoijua clone yenyewe kwa bei hiyo utatafuta sana. Kama ni mkwawa najua anazo za ukwel na sidhani kama atakuuzia chini ya laki 3 na kuendelea

Nina Samsung Galaxy S4 Clone yenye SPECS kama anazoziuza chief-mkwawa (https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/568615-samsung-galaxy-s4-clone-mpyaaa-2.html), yangu nimeinunua kwa Tshs. 180,000.00
 
Last edited by a moderator:
kaka uwe makini tu usilizwe, watu wanashindwa kujua kuwa clone sio fake kama wanavozania, hizo s4 fake zipo na clone zipo. ukienda Dubai kuna mpka za laki tano, kwa hiyo be careful mana nimeanza kusikia story za laki '2 humu. Kwa ninavoijua clone yenyewe kwa bei hiyo utatafuta sana. Kama ni mkwawa najua anazo za ukwel na sidhani kama atakuuzia chini ya laki 3 na kuendelea
Clone ni immitation, ni FAKE, haijalishi ina kiwango gani cha ubora, kama haijatengenezwa kwa ridhaa ya samsung ni fake. sema tu fake znatofautiana kiwango!
 
Kaa kinondoni kwa john fedha wanapitisha 250000 tu. Mpaka I phone

S4 ni kweli hata mimi nlishawah kunnua bei hyo, k2 kilkuwa kmetulia vbaya nikabadlishana na iphone 5. lakini clone ya iphone sijawah kuona zaid ya takataka ambzo hazjulkan hata znarun os gani!
 
Wengi wanasema mpaka K/koo na huko kuna Clone nyingi, hivyo unapaswa kuwa makini. J'4 nilizunguka maduka ya simu ya Posta kama 6 au 7 hivi cha ajabu ukimtamkia S4 Clone watakwambia hawaifamu, na ukisema ya kichina watakwambia hawana. Kwa kukusaidia mwone Chief Mkwawa ana jamaa yake anaziuza zikiwa mpya kabisa ndani ya Box lake.

Ni PM.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom