1. screen
galaxy s2 ina screen kubwa kuliko mini kama unapenda screen kubwa s2 ni yako kama unapenda ya kawaida mini ni yako. lakini tukija quality ya screen mini ni kubwa sababu screen zote zina resolution sawa
2. kwenda na wakati
mkuu mini ina jely bean wakati s2 ina gingerbread na unaweza ku update hadi ice cream sandwitch
3.upya na uzamani
mkuu mini ni mpya na s2 ni yazamani always mpya ina advantage
mi nakushauri go for mini
mkuu S2 inaweza kuwa upgraded to v4.1 Jellybean aisee
mkuu official ni ics na hapa nazungumzia s2 yenyewe na sio s2 ambayo imekua refreshed
hapo sawa, halafu kuna S2 plus, hii inakuja na 4.1 kabisa
Mm naona bora nikufahamishe ukanunue HTC desire. Kwa bei rahs kuliko sehemu nyengne. Ni MP ukiwa tayar
ndio ninayoitumia desire s, sijutii hela yangu.
HTC wapo juu sana.!!
htc desire unaona ni better than s3 mini? u must b on marijuana dude...
ni PM (PRIVATE MESSAGE) sio MP
Nataka kununua híi simu mda si mrefu.. Naomba mtu aliye na uzoefu nayo anipe detail zake zote wakuu, je ni simu nzuri kwa matumizi, n.k n.k.
Au kama kuna maoni tofauti na ungependa kunishauri simu nyingine kali zaidi ya hii pia unakaribishwa. Madukan sasa wanauza 400k.
Ushauri wenu tafadhali ndugu
Kwa anaehitaji GALAXY S4 ninazo Tafadhali ni PM
Kwa anaehitaji GALAXY S4 ninazo Tafadhali ni PM