400k ni nn?
Nataka kununua híi simu mda si mrefu.. Naomba mtu aliye na uzoefu nayo anipe detail zake zote wakuu, je ni simu nzuri kwa matumizi, n.k n.k.
Au kama kuna maoni tofauti na ungependa kunishauri simu nyingine kali zaidi ya hii pia unakaribishwa. Madukan sasa wanauza 400k.
Ushauri wenu tafadhali ndugu
Mm naona bora nikufahamishe ukanunue HTC desire. Kwa bei rahs kuliko sehemu nyengne. Ni MP ukiwa tayar

are u serious?
s3 mini inatumia jelly bean desire ina eclair then ku upgrade mwisho froyo hata gingerbread hupat
s3 mini ina ram 1gb na processor 1ghz dual core wakati desire ni single core tena ram 512mb
mkuu kwa 2013 simu ya froyo haideserve hata kuuzwa laki 2 thats the truth

Chief tunaeza weka Custom ROM ya JellyBean kwenye Huawei Y200??....nimeweka custom ROM ya Gingebread that looks exactly like ICS
mkuu sidhani kama itakua ni jambo la busara kueka jelly bean kwenye simu yenye ram 256mb maana itakua very slow. minimum requrement ya jelly bean ni atleast simu iwe na ram 512mb.
jaribu kwenye hizo custom rom unaweza pata ambazo wamepunguza baadhi ya vitu ambavyo ni power hunger.
ila si naweza kupata ICS complete sio kama hii Gingerbread iliyokuwa customized kufanana na ICS.....
unaweza mkuu sema ndo uslow na lag vitakua vingi. bora baki na 2.3 maana nina simu hapa ya ics ina ram 512 lakini inastack vibaya mno
got u bro.....simu ipi hiyo yenye 512 hlf inastack
Kuna hii samsung galaxy s2 ila ni second hand(used)... Je huwa ina matatiz gani.. Na je mnanishauri ipi. Ninunue s3 mini mpya dukani au ninunue galaxy s2 used.