Samsung Galaxy S3 mini for 350,000 Mpya...

Samsung Galaxy S3 mini for 350,000 Mpya...

hamna kujificha jf. kwann niku pmu unaogopa nn?
weka mambo wazi.kwan unauza bangi hapa. weka mambo tuyaone hapa. ndio biashara inavyoenda hapa. chf mkwawa mwelekezi mdau uyu. hajui taratibu za hapa jf
 
0713 338342

Bei haishuki zaidi ya hapo

Boxed

hamna kujificha jf. kwann niku pmu unaogopa nn?
weka mambo wazi.kwan unauza bangi hapa. weka mambo tuyaone hapa. ndio biashara inavyoenda hapa. chf mkwawa mwelekezi mdau uyu. hajui taratibu za hapa jf

Mkuu naona kama unaota flani hivi!. Ok labda kutokana na mida uliyo post post yako.

Hakuna mahali nilipoandika uniPM namba yangu iko pale, haina haja ya kuweka picha kwani huwezi itambua
clone kwa kutazama picha. status yake ni mpya (boxed).

Karibu tena.
 
Unafanya biashara halafu unaringia wateja?? Umeambiwa weka picha unaleta kiburi, kuna mtu hajui hiyo S3 inafananaje ingawa kila siku anaionaga, mwingine akiona picha tu anavutiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom