samsung galaxy s2 inatakiwa haraka

samsung galaxy s2 inatakiwa haraka

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
mwenye kuuza samsung galaxy s2 nyeusi used kwa lak 3 tuwasiliane haraka. awe mwanza au Dar.
 
pole kwa kukimbia maana unaharaka kweli hadi kuweka post jukwaa hili
 
I have it, laki 4.5 naiachia kwako!!! Ni PM if you are serious on this..
 
Ninayo tena bado mpya hila nataka laki tatu na nusu kama upo radhi na hiyo bei yangu call me 0685-555100
 
Back
Top Bottom