F FRGR Senior Member Joined Aug 11, 2011 Posts 126 Reaction score 56 Apr 23, 2013 #1 Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118
Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,482 Reaction score 16,203 Apr 23, 2013 #2 FRGR said: Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118 Click to expand... Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa!
FRGR said: Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118 Click to expand... Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa!
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,143 Apr 23, 2013 #3 Babaubaya said: Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa! Click to expand... aaah aah nwenyewe nimeogopa, labda aweke bei
Babaubaya said: Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa! Click to expand... aaah aah nwenyewe nimeogopa, labda aweke bei
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Apr 24, 2013 #4 Mbona samsung double line ziko poa tu... Acheni woga bhana.... Mi natumia duos kwa miaka mi2 sasa na haijawahi nisumbua.
Mbona samsung double line ziko poa tu... Acheni woga bhana.... Mi natumia duos kwa miaka mi2 sasa na haijawahi nisumbua.
AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 6,908 Reaction score 5,695 Apr 24, 2013 #5 Babaubaya said: Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa! Click to expand... hamna mkuu! ni samsung mwenyewe mimi ninayo ni simu nzuri tu.
Babaubaya said: Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa! Click to expand... hamna mkuu! ni samsung mwenyewe mimi ninayo ni simu nzuri tu.
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Apr 24, 2013 #6 FRGR said: Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118 Click to expand... Weka picha na bei
FRGR said: Jamani simu haijatumika sana..ina vifaa vyake..ni simu galaxy yenye screen kubwa na line mbili..anayehitaji anicheki kupitia 0713 190 118 Click to expand... Weka picha na bei
C chicotton Member Joined Feb 14, 2013 Posts 37 Reaction score 6 Apr 24, 2013 #7 Sidhani kama Samsung walishatoa SIM YA line mbini nimepata wasiwasi na uwezo wa hyo SIM, labda kwa ukubwa wa umbo NI kubwa bt ndani sasa mmmmh
Sidhani kama Samsung walishatoa SIM YA line mbini nimepata wasiwasi na uwezo wa hyo SIM, labda kwa ukubwa wa umbo NI kubwa bt ndani sasa mmmmh
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,293 Apr 24, 2013 #8 Babaubaya said: Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa! Click to expand... Kwani nini maana ya neno duos? Ukiona duos huna haja ya kuuliza line ngapi. Duo | Define Duo at Dictionary.com
Babaubaya said: Ulivyosema line mbili tu ndo umechaafua hali ya hewa! Click to expand... Kwani nini maana ya neno duos? Ukiona duos huna haja ya kuuliza line ngapi. Duo | Define Duo at Dictionary.com
iron2012 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 501 Reaction score 212 Apr 24, 2013 #9 chicotton said: Sidhani kama Samsung walishatoa SIM YA line mbini nimepata wasiwasi na uwezo wa hyo SIM, labda kwa ukubwa wa umbo NI kubwa bt ndani sasa mmmmh Click to expand... inaonesha ni jinsi gani upo mbali na samsung maana mchina alipotoa tu line mbili na kupata soko sana Samsung naye akatoa za kwake zenye line mbili na ubora wa hali ya juu
chicotton said: Sidhani kama Samsung walishatoa SIM YA line mbini nimepata wasiwasi na uwezo wa hyo SIM, labda kwa ukubwa wa umbo NI kubwa bt ndani sasa mmmmh Click to expand... inaonesha ni jinsi gani upo mbali na samsung maana mchina alipotoa tu line mbili na kupata soko sana Samsung naye akatoa za kwake zenye line mbili na ubora wa hali ya juu