Samsung galaxy original codes.

Samsung galaxy original codes.

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
7,836
Reaction score
6,291
Habar wana Tech. Kuna uzi mmoja humu jf kuhusu kuitambua Simu Original za Samsung. Binafsi natumia hizi codes na zikikubali zote huwa naamini ni OG.. hiz hapa..
codes used in original
Samsung phones
*#1234# (View SW Version PDA, CSC,
MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)
If these codes are working, then it an OG one. Jaribu kutest Phone yako.
 
Habar wana Tech. Kuna uzi mmoja humu jf kuhusu kuitambua Simu Original za Samsung. Binafsi natumia hizi codes na zikikubali zote huwa naamini ni OG.. hiz hapa..
codes used in original
Samsung phones
*#1234# (View SW Version PDA, CSC,
MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)
If these codes are working, then it an OG one. Jaribu kutest Phone yako.
Kuna michina ambayo inakula code zote hizo, cha msingi check imei number kwenda namba 15685 watakwambia kama ni original au feki.
 
Nilinunua Samsung Galaxy Note 3 Dubai ilikuwa ukiingiza hizo code zote zinakubali na kila kitu ambacho kipo kwenye original kipo kwenye hiyo simu ila kuna program niliifunga ya kutambua chip ya procesa inayotumika nikaja kugundua ni mediatek inayofungwa kwenye simu za tecno nikagundua mchina anatisha


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Mucendelee kudanganya na kupotosha hizo cord hata cm za kichina zinasaport
Mm ushauri wangu
Ucheki feature& specification
Za cm
 
Back
Top Bottom