SAMSUNG GALAXY NOTE 4 (VERIZON)FOR SALE

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
86,989
120,253
SIM NI MPYA KABISA....
internal memory ni 32 gb
Ram ni 4 gb
Camera ni 16 mp
Display ukubwa ni 5.70"
Battery-3220mAh
S-pen
Sim Ina support 4G...
Processor 2.7 GHz
Android 4.4,kit Kat
bei ya kuuza ni 500,000/
Sim iko ktk hali nzuri sana
Kwa mawasiliano zaidi kwa wale serious buyers piga namba hii
0715591141...dar
Karibuni
 

Attachments

  • IMAG0367.jpg
    IMAG0367.jpg
    230.2 KB · Views: 110
  • IMAG0366.jpg
    IMAG0366.jpg
    235.7 KB · Views: 99
  • IMAG0364.jpg
    IMAG0364.jpg
    231.2 KB · Views: 96
Simu zenye verizon zinafunguliwa?
Kuna jamaa yangu anayo S7 ameshindwa kuitumia kabisa
 
Hizo ni carrier locked, wakitaka kuziuza wana zi unlock, zipo nyingi tuu, hio kwa njia rahisi walitakiwa wa i unlock huko huko US,
Shida huwa kwenye network, hazikamati vizuri.
Simu zenye verizon zinafunguliwa?
Kuna jamaa yangu anayo S7 ameshindwa kuitumia kabisa
 
Back
Top Bottom