kwa Kigezo Cha bei, Unaweza Tajiwa Bei Inayolingana Na Orijino Lakin Ikawa Feki!
Kama Hujaelewa Maelezo Hapo Juu Na kweli Unataka Sim Orijino ,Omba Mtaalam mje Oficn Kwangu Muikague Kila Idala Mpaka Mjiridhishe
Sory chief mkwawa! iyo namna ya kuangalia note ni kwa note zote au note 3 pekee? maana mm ndugu yangu ana note4 aliniambia nimuangalizie nikamwambia cjui. Sasa naweza nikamuangalizia kwa kutumia iyo njia uliyoisema? kama kwa note 4 kuna njia nyingine bas naomba unielekeze chief
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.