samsung galaxy note 2 is for sale

samsung galaxy note 2 is for sale

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,054
Reaction score
2,146
Nauza samsung gallaxy note 2 kwa laki nane(800,000/=),mwezi mmoja toka nimeinunua!Hiko full kila kitu mpaka receipt yake.NIPO DAR(0756587175)
 
Weka pics tuione

Ndg naangaika na torch hapa hili niweke picture bt nipo makini na ninachosema!very currently ni gallaxy note 3 ambayo mliman cty ni 1.5m,Hii note 2 ni 1.2 mpaka 1.1m,Nina shda sn ya pesa.NIELEWE
 
Nauza samsung gallaxy note 2 kwa laki nane(800,000/=),mwezi mmoja toka nimeinunua!Hiko full kila kitu mpaka receipt yake.NIPO DAR(0756587175)
Simu bado hipo kwa bei tajwa hapo juu!laki 8
 
Wandugu simu bado hipo!

Mkuu tatizo bei uliyoweka ni kubwa mno. Madukani posta sasa hv ni laki nane na nusu hiyo. Mtaani inauzwa 500-600 depending on condition. Utasubiri sana kwa bei hiyo
 
namshangaa great thinker anashindwa kudadavua ni kwanini biashara inamdodea. promo kibaoo lakini wapiii.....
 
Nauza samsung gallaxy note 2 kwa laki nane(800,000/=),mwezi mmoja toka nimeinunua!Hiko full kila kitu mpaka receipt yake.NIPO DAR(0756587175)

45 nikupe kesho asubuhi sana mkuu, ipo mfuko wa shati
 
Nauza samsung gallaxy note 2 kwa laki nane(800,000/=),mwezi mmoja toka nimeinunua!Hiko full kila kitu mpaka receipt yake.NIPO DAR(0756587175)

Mkuu mimekisachi kila sehem nimepata 500 kama vipi tuonane asubuhi mapema tufanye biz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom