Samsung galaxy note 2 gt-n7100 boot problem

Samsung galaxy note 2 gt-n7100 boot problem

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Habar wakuu,
naombeni msaada, nilikua na update software kwa kutumia internet ya wireless, then baada ya kumaliza nikawa naistall baada ya hapo ikajiereboot then ikawa inawaka then inazima haimalizi kuwaka. Nilijalibu kuingiza kwenye recovery mode but inagoma inaniingiza kwenye downloading mode. Nikajalibu kuinstall new firmware kwa kutumia odini ikashindikana na kies pia ikagoma,
naomba msaada wenu tafadhar
 
umetumia Odin version gani?
 
mkuu nimejalibu tena kwa kutumia odin hiyo ila imegoma. Sasa cjui nitumie firmware ipi maybe ipo compatible na cm hii

kwani ukiwa una flash na Odin unapata message gan
 
Kabla ya ku-download OS Update ulikua unatumia ROM gani na recovery gani.. pia tujuze battery level uliyokuwa nayo wakati unaflash new updates..
 
kabla ya ku-download os update ulikua unatumia rom gani na recovery gani.. Pia tujuze battery level uliyokuwa nayo wakati unaflash new updates..
ilikua android 4.1.2, betry ilikua 38%.
 
Home+volume up+ cha kuwasha simu hii ndio recovery

Home+ volume down+ cha kuwasha simu hio ndio download mode.
 
home+volume up+ cha kuwasha simu hii ndio recovery

home+ volume down+ cha kuwasha simu hio ndio download mode.
mkuu kwenye recovery mode inagoma kwenda. Inakubali kwenye download mode tu
 
mkuu kwenye recovery mode inagoma kwenda. Inakubali kwenye download mode tu

Mimi nmekuulza inavogoma kwwny Odin inakupa error yoyote? inawezekana hyo firmware unayo flash ina matatizo..download firmware kutoka sammobile.com
 
Kama hivyo tuambie error message unayoipata kutoka Odin..
Je una experience na adb commands?
HII HAPA MKUU
<ID:0/006> Added!!
<OSM> Enter CS for MD5..
<OSM> Check MD5.. Do not unplug the cable..
<OSM> Please wait..
<OSM> N7100XXALJ1_N7100OLBALJ1_N7100DXALIA_HOME.tar.md5 is valid.
<OSM> Checking MD5 finished Sucessfully..
<OSM> Leave CS..
<ID:0/006> Odin v.3 engine (ID:6)..
<ID:0/006> File analysis..
<ID:0/006> SetupConnection..
<ID:0/006> Initialzation..
<ID:0/006> Set PIT file..
<ID:0/006> DO NOT TURN OFF TARGET!!
<ID:0/006>
<ID:0/006> Re-Partition operation failed.
<ID:0/006> Added!!
<OSM> All threads completed. (succeed 0 / failed 1)
 
ume uncheck re partition? hpo ndo uliharibu mambo...hutakiwi kucheck re partition mkuu
 
HII HAPA MKUU
<ID:0/006> Added!!
<OSM> Enter CS for MD5..
<OSM> Check MD5.. Do not unplug the cable..
<OSM> Please wait..
<OSM> N7100XXALJ1_N7100OLBALJ1_N7100DXALIA_HOME.tar.md5 is valid.
<OSM> Checking MD5 finished Sucessfully..
<OSM> Leave CS..
<ID:0/006> Odin v.3 engine (ID:6)..
<ID:0/006> File analysis..
<ID:0/006> SetupConnection..
<ID:0/006> Initialzation..
<ID:0/006> Set PIT file..
<ID:0/006> DO NOT TURN OFF TARGET!!
<ID:0/006>
<ID:0/006> Re-Partition operation failed.
<ID:0/006> Added!!
<OSM> All threads completed. (succeed 0 / failed 1)

Repartition.? Duh! Hapo ndipo tatizo lilipoanzia mkuu.. Unashauriwa kusoma maelekezo yote kabla ya kutumia Odin
 
niletee kesho nipo buguruni hapa

home+volume up+ cha kuwasha simu hii ndio recovery

home+ volume down+ cha kuwasha simu hio ndio download mode.

kabla ya ku-download os update ulikua unatumia rom gani na recovery gani.. Pia tujuze battery level uliyokuwa nayo wakati unaflash new updates..

kwani ukiwa una flash na odin unapata message gan

tumia odin3-v1. 85. Mkuu

umetumia odin version gani?

next time hakikisha battery level ipo juu ya 85% kabla ya kuflash simu yako mkuu.. Ni muhimu sanakuzingatia hilo..

ulikua unatumia custom rom kabla, ulikua na root access?

mimi nmekuulza inavogoma kwwny odin inakupa error yoyote? Inawezekana hyo firmware unayo flash ina matatizo..download firmware kutoka sammobile.com

kama hivyo tuambie error message unayoipata kutoka odin..
Je una experience na adb commands?

ume uncheck re partition? Hpo ndo uliharibu mambo...hutakiwi kucheck re partition mkuu

repartition.? Duh! Hapo ndipo tatizo lilipoanzia mkuu.. Unashauriwa kusoma maelekezo yote kabla ya kutumia odin
wakuu hali inakua ngum nimempelekea muheshimiwa hapo wa buguruni kajalibu kasema bootloader imeharibika nifsanyeje wakuu ni njia gani ya kufanya hapo??
 
Back
Top Bottom