Wanajamii habari zenu!!
Naombeni msaada mahali napoweza kupata Display na touch (complete) ya galaxy j1 kwa bei nafuu maana mwezi uliopita nilikuwa Mbeya nikauliza nikabiwa 145, nikaona isiwe tabu ngoja niichimbie ndani tu. Sasa kwa hapa dar naweza ipata wapi wandugu? [emoji4] [emoji4]