Samsung galaxy grand duos

Samsung galaxy grand duos

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,983
Aina shida yoyote Ina tunza chaji fresh tu.
8 gb internal memory
Ni pm Namba yako Kama upo unahitaji
Bei 170
1492260993024.jpg
1492261011621.jpg
1492261027541.jpg
 
Nitext kwa 0764813772

Ambatanisha na mahali ulipo pia discount

Asante
 
Hivi huyu jamaa yuko sereouz kweli

Toka saa tisa hadi sasa jamaa hata hajibu wateja

Moderator tunachezewa akili na nyie mpo kwel? Hii n sawa kweli?
 
Naona ile simu yangu iliyoibiwa pale kariakoo mwaka Jana mtaa wa aggrey. Ma ma e
 
Hivi huyu jamaa yuko sereouz kweli

Toka saa tisa hadi sasa jamaa hata hajibu wateja

Moderator tunachezewa akili na nyie mpo kwel? Hii n sawa kweli?
Babu usinilahamu kwan nilikua online mambo mengi sikuhiz kuna kutekwa uwezijua
 
Back
Top Bottom