Samsung galaxy core prime!

Samsung galaxy core prime!

Pole Mkuu..ila mbona nami ndo ninayotumia simu y hivyo..ila sijui hata nilifanyaje ingawa nami ilinisumbua kidg mpaka nikajuta.....
 
Anhaa Hapo unamaanisha kuflash sioo maana inasoma tyu E kwahio akiflash inaeza kusoma ata H+ au LTE au
sio kuflash mkuu, kuto hio network lock, kuna namna nyingi za kutoa na mabox yanakuwa na advantage zaidi.
 
Naomba Nielekeze Namna ya Kutoa Network lock tofauti na ya Box!
 
naweza pata code kama hizi za huawei maan na yenyew inasoma E tu 3G ukiweka mtandao unakata
inategemea na simu mkuu, si kila tatizo linatatuliwa hivyo, ni model gani? tujue bands zake kama zinakubali tanzania na tujue kama ina lock ya mtandao wa simu.
 
Ngoja sister atoke job niangalie model yake
ila ipo kama tablet
 
inategemea na simu mkuu, si kila tatizo linatatuliwa hivyo, ni model gani? tujue bands zake kama zinakubali tanzania na tujue kama ina lock ya mtandao wa simu.
Yangu nafikiri ina Lock ya WCDMA/LTE maana naona ndo kitu Metropcs wananiambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom