Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,747
wadau nina samsung yangu ambayo imekuja na kimtandao cha huko mbele kinaitwa Metropcs sasa hii simu inaspot data ya wcdma/LTE but inafanya kazi kwenye gsm tu..na nikiswitch data to lte or wcdma netwek yenyewe inapotea...Japo mm ni mtundu sana katika technolojia ila suala limenishinda na nimeamu kulileta hapa mezani Naomba tusaidiane wanasayansi wenzangu!