Vipi kuhusu used ndugu
Wanajamvi naomba kwa anaefahamu bei ya cm hiyo Samsung galax note 2,ninahitaji wakuu
Nikuletee kutoka Dubai kwa 450,000/ ni 1:1 copy mkuu nimemletea boss wangu na nimembamiza laki saba bila ganzi !!
Kumbee...!!!? utan'tambua kazini leo.
Siwezi kununua sim 1 m
Siwezi kununua sim 1 m
Hata mimi!
Kumbee...!!!? utan'tambua kazini leo.
Wanajamvi naomba kwa anaefahamu bei ya cm hiyo Samsung galax note 2,ninahitaji wakuu