Mkuu, nipo Rukwa pia, ila kwa sasa mzunguko wa pesa ni mdogo maana watu wengi wamepeleka hela mashambani. Nilikua na kibiashara ila nataka niachane nacho nirudi mjini. Ungefanya hata manual work, uvumilie walau kiangazi unaweza kupata cha kufanya. Kwa sasa biashara ni ngumu sana huku mkoani. (Nipo Rukwa pia)