Ni maamuzi mazuri, lakini smart phone ina umuhimu wake kama utaitumia vizuri.Asante mkuu, haya ni maamz ya mwisho kuuza cm ili walau nipambane kwenye ya msing kuliko kushinda social media [emoji19]
Nmebak kusikia tu kuwa ina umhimu but cjapata wa kunielekeza namna ya kuitumia ili niamini haya. Na kama unayajua haya njoo Pm unielekeze mkuu kama hutojariNi maamuzi mazuri, lakini smart phone ina umuhimu wake kama utaitumia vizuri.
Duuuh!Nmebak kusikia tu kuwa ina umhimu but cjapata wa kunielekeza namna ya kuitumia ili niamini haya. Na kama unayajua haya njoo Pm unielekeze mkuu kama hutojari
Okey, kila la kheri mkuu.Serious mkuu maisha yamekuwa magumu sana kwangu, nimekimbia home nimefika huku rukwa hela niliyokuwa nayo imekata japo nashukuru nipata kiroom cha 10000 kwa mwez ko nmeshamia but nimekwama hela ya kufanyia michongo
Mkuu no ramani ila mwili na akili vinaniambia niuze huenda nikafanya jambo la kuniingizia hela, naogopa kukaa sehemu natumia hela but sina vyanzo vya kuingiza niliyotumia na hata zaidi, nikahis kama n cm ntaikutaga mbeleniDah mkuu pole sana, ila maamuzi ya kuuza simu umeyafanya baada ya kupata ramani au bado hata ramani hujaiona?
Dukani mpya 180,000/= Mlimani CitySimu Samsung A10s inauzwa.
1 Dual camera- 13MP +2MP dual rear camera na 8MP front camera
2 finger scan- well functioning
3 warranty- 2years but used 3 months mpaka sasa
4 Octa core processor
5 Network-4G LTE
6 32GB memory and 2GB RAM
7 BATTERY. Inavumilia sana chaji siku moja na masaa 7-10.
MENGINEYO
a/ haina tatizo lolote, haijapasuka popote wala mkwaruzo wowote
b/ Ina vifaa vyote ilivyotoka navyo kwenye box, ikiwa ni chaja yake karatasi za list pamoja karatasi za warranty
LOCATION
nipo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi kwa sasa
BEI 220,000/=. Nipo tayar kuchukua 200,000/= iwapo utanipa na kasimu kadogo hata kama ni used.
MAWASILIANO
0746866631
SABABU YA KUUZA, ugumu wa maisha bila ajira. Na lengo ni ili nipate mtaji wa kuanzia kujiajiri. Karibuni sanaa,
NB. ikiwa upo mbali basi unaweza kutumia dereva au kondakta wa basi linalofika hadi huku ili aicheki.
Mwisho. Nmeshindwa kuambatanisha picha mana sina internet bando hapa natumia free basic.
Cha kukusihi tu tafta ramani kwanza hata ujue ka mzigo utachukua mahali flani uzungushe mkaliwade!Mkuu no ramani ila mwili na akili vinaniambia niuze huenda nikafanya jambo la kuniingizia hela, naogopa kukaa sehemu natumia hela but sina vyanzo vya kuingiza niliyotumia na hata zaidi, nikahis kama n cm ntaikutaga mbeleni
Mkuu asante sanaaaa, vipi huijui michongo ya online mkuuCha kukusihi tu tafta ramani kwanza hata ujue ka mzigo utachukua mahali flani uzungushe mkaliwade!
Bila hivyo utachoma tu, mi naelewa mambo ya hela nshapotezaga hela ndefu sana! Unachukua M huna ramani unajikuta mara umebunya laki imebaki 9...unaona aah bado ipo lakini mara paap 7! Mara 5 eeh! Mwisho unabakia na makende sababu pa kuipeleka ili ilete hela nilikuwa sinapo.