beka the boy
Senior Member
- Nov 6, 2018
- 167
- 97
Hatimaye rasmi ndani ya sumsung sasa 

useme kabisa umetokea wapi ili tujue tunakupongezaje.
kuna mtu kaenda kununua tecno ya ram 1gb kwa 16gh rom,kwa 240k.roho imeniuma kama hela nimetoa mimi![]()
Kwa mujibu wa hao jamaaUmenunua shs ngap
useme kabisa umetokea wapi ili tujue tunakupongezaje.
kuna mtu kaenda kununua tecno ya ram 1gb kwa 16gh rom,kwa 240k.roho imeniuma kama hela nimetoa mimi![]()
Ku clarify hii simu A10 ya kawaida Ina processor yenye nguvu zaidiKwa mujibu wa hao jamaaView attachment 1201479
Ku clarify hii simu A10 ya kawaida Ina processor yenye nguvu zaidi
Exynos 7884
![]()
Helio p22
![]()
Hivyo unatoa laki 3 na 40 kununua simu yenye uwezo mdogo kuliko simu ya laki 2 na 60.
Nunua hio simu Kama chaji kwako Ni priority kuliko perfomance.
useme kabisa umetokea wapi ili tujue tunakupongezaje.
kuna mtu kaenda kununua tecno ya ram 1gb kwa 16gh rom,kwa 240k.roho imeniuma kama hela nimetoa mimi![]()
Naona mediatek wanakuja vizuri kwa sasa maana naona kwenye A10 kavu hawakutumia mediatek ila A10s wametumia
Kwa mujibu wa hao jamaaView attachment 1201479
bwana wee acha tu.Kwa sasa kununua cm tofaut na Samsung, oppo au xiaomi kwa bei kubwa hivo ni kutojua hata mi najiskia vibaya kama ninegemuona nngemshaur hata kama sio ndug yangu aisee
Wakati jumia A20 inauzwa 325,000 tu
Kumbe zimeshuka bei hivi!!Hii bei sio jumia tu hata kariakoo unapata mpya kwa bwi hiyo mkuu
Kumbe zimeshuka bei hivi!!