Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.
Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.
Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.