Samson Mwigamba: CHADEMA ndumilakuwili

Hivi kwa nini watu waliofukuzwa CHADEMA na kukimbilia CCM huwa wana maumivu makali namna hii? Kutwa kucha wanalalama tuu!
 
Kila MTU kahama kwa makusudi yake,wengine ni njaa,wengine no kutuaka umaarufu, wengine ni ushabiki, Ila reality itabaki kua reality
 
Tatizo huyu Mwigamba hajawahi kuwa maarufu na wengi hawamjui!!!
 
Asante sana kwa hoja murua
 
Ufisadi huo ulioutaja wahusika wake wakihamia chadema siku hizo mwanasafishwa na chadema wanasema wanasingiziwa..nyarandu,lowassa Lawrence masha, kingunge alihusishwa na biashara za kinje mwanae,na wenhmgine wengi.
 
hapo umeona kuna swali kwel?Hizo si taarab tyu
Nakuongezea tu kingine kuhusu Mwigamba; huyu jamaa yeye pamoja na aliyekua mhariri wa gazeti la Tanzania daima walikua na kesi, mwenye kesi hasa alikua Mwigamba na wakati wa kesi hiyo inafunguliwa na ikiwa bado inaendelea, Mwigamba alikua mwenyekiti wa Chadema mkoani Arusha, alipofukuzwa tu Chadema yeye na wenzie na kesi yake ni kama iliisha kimtindo; hata hilo nalo hadi uambiwe!? Kwanini tumekua na kizazi chenye uzembe wa kufikiri namna hi!!!!!?
 
Jina la kesi,kesi namba ngapi ya mwaka gan na shauri hili lilikua katika mahakama gan?
 
Hivi kwa nini watu waliofukuzwa CHADEMA na kukimbilia CCM huwa wana maumivu makali namna hii? Kutwa kucha wanalalama tuu!
Ua wrong Mwigamba alifukuzwa CHAGADEMA akahamia ACT then katoka ACT kwenda CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…