Samson Mwigamba: CHADEMA ndumilakuwili

Jambo moja ambalo Mwigamba anasahau japo yeye ni mkristo, mwanadamu huwa anabadilika. Sijui kama anaamini kuwa Yesu anabadilisha maisha ya watu. Yeye nadhani "once a sinner, always a sinner". Mwalimu Nyerere kuna mahali alisema "ni mpumbavu tu ambaye habadiliki". Kwa hiyo siyo ajabu mtu kuwa fisadi, kama ni kweli halafu kesho yake akawa amehesabiwa haki na Mungu.

Labda Mwigamba ajitafakari yeye mwenyewe njia zake. Atuambie malipo aliyokuwa anapata kutoka TISS yalikoma lini? Ukweli nilionao ni kuwa yuko kwenye payroll ya hawa jamaa. Mimi nawapongeza sana CDM kwa ku-detect wanafiki kama hawa na kuwachukulia hatua. Mwigamba aachane na CDM apambane na hali yake kwenye chama chake.
 
Kwa hiyo CHADEMA ni Yesu mnabadiilsha maisha ya watu?
 
duuh... unamaanisha chadema ndo wafuta zambi yaani wanatakasa wenye dhambi, si ndio??? ubongo wako upo vizuri kwel....? jaribu kuwashirikisha wataalam wa afya ya ubongo wanaweza kukusaidia
 
Mwigamba umeongea vitu tulivyoviona na kuvisikia, lkn bado tunazidi kuviona mungu akutunze hadi 2020 uje umwange mboga maana ugari tayari ushaubutua
 
sasa hujaelewa kipi? tulikuwa chadema kwasababu walituaminisha kuwa wao ni watetezi wa wanyonge ila wakatuacha wanyonge kwa gia ya angani. Mungu anawaona
Mimi sijasema.sijaelewa, bali sijaona jipya. Na kwa nini unasema "walituaminisha? Ina maana nyie hamna uwezo kuona jambo na kutambua wenyewe? Na huko ACT mliaminishwa nini ambacho mmegundua siyo kweli!!! Na huko CCM mnasuburi kuaminishwa nini tena ambacho hamjawahi kukiamini?
 
Huyu jamaa aliondoka chadema zaidi ya miaka miwili ila bado anaongelea chadema. Yaliyomkimbiza huko ACT hajayaona?
 
Mwigamba asome hili andiko halafu aje atujibu jee huko ccm anavyokuona yeye ni sawa na CNN na vyombo vingine vya nje ndio wanavyo ona?
 
Hatujawahi kuamini kama kweli mlimsimamisha Lowasa kugombea u rais
 
Atabakia kuwa kada tu....alutegemea ataukwa udc lkn olaaaa

Ova
 
On point, hakuna binadamu in his right logical sense, atawaamini chadema. Hawana credibility tena, ndio maana Rais mstaafu aliwapachika lile jina, nyumbu na malofa.
Wameshavamia uzi na kuanza kutukana, hamna mnalofanya zaidi kwamba mnaprove the point.
 
Mwigamba usibwabwaje sana unaenda kuwa mkuu wa wilaya ya Hai
 
Chadema ni kikundi chenye sifa ya kuwa na Ndimi mbili kama swira(nyoka)

Raila Odinga Kenya wananchi na taasisi muhimu zinamuelewa kwakuwa anasimamia anachopigania, Mbowe haaminiki, haeleweki kwakuwa si baridi wala si moto(Vuguvugu) pia ni popo

Mbowe anayemshutumu muda si punde ndiye Swahiba wake mkubwa ilimladi apenyeze rupia hata kama wanachama wake watamshangaa na yeye atawashangaa kwa kitendo cha kumshangaa

Wanaoondoka Chadema wanatuhumiwa kupenyezewa rupia nami naweza kukubali kama ambavyo ningeweza kukubali Mh.Mbowe kupenyezewa rupia na kubinafsisha Chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…