Laini zinaonesha kusoma?habar wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza
sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network
sasa bas msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu
chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka
Kama upo Dar nenda JM Mall kuna wakala wa Samsung watakurekebishia bure, bado warranty inafanyakazi.habar wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza
sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network
sasa bas msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu
chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka
Hujaweka simcard vizuriHabari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza
Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu
Chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka.
Ni settings tu subiri utapata msaada hapahapa.zinaandika emergency
poa mkuu ngoja nijaribuNenda settings fungua connection halafu nenda mobile networks,halafu nenda sim card manager, halafu weka calls ask always,text messages utachuzi kam ni sim 1 or 2 halafu mobile data off halafu toa hizo cards rudishia Zima uwashee.
Mkuu imei ipo? Baseband ipo? Nenda setting kisha about angalia hivyo vitu kama vipo.Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza
Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu
Chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka.
Haijasumbua tena mkuu...haijakusumbua tena tangu walipoifanya hivyo?