Mapigo yamoyo yameanza kwenda spidi kama namwona vile unajua baadhi ya ajali zinasabishwa na hawa dada zetu? wengine wanajua wajaaliwa then wanavaa nguo nyepesi halafu fupi...wenye roho ndogo huwa wanakata network kwanza wanatafakari walichokiona then net inarudi...