Sammatta apata timu Ulaya

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,910
3,473
Samattaapata timu Ulaya (dimba)
Mshambuliaji wa kimataifa waTanzaniaanayekipiga katika klabu yaTP Mazembeya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Samattaamethibitisha kupata timu ya kwenda kucheza soka Ulaya na kuwa mipango yake inaenda vizuri?

Siwezi kusema mengi, kilichopo ni kuwa mipango inaendelea na kwa jinsi mambo yanavyokwenda sina wasiwasi wa kwenda Ulaya kusaka ulaji mpya, kilichobaki ni kuomba uhai?.
 
Hawez enda LIGI BORA DUNIANI huyo atakuwa anampango wa kusajiliwa RUGBY LEAGUE na tmu kama man u city aseno chelsea n.k
 
ni kweli atasaini miaka minne na nusu hivi haruna moshi anajisikiaje maana yeye alikwenda sweden alivyorudi akasema nimerudi kwa sababu hakuna vijiwe vya bangi kama mansese!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom