GE2025 Samia: Waangalizi wa Uchaguzi wapongeza usalama wa Nchi

GE2025 Samia: Waangalizi wa Uchaguzi wapongeza usalama wa Nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kilele cha kampeni za CCM, Mwanza leo Oktoba 28, 2025 amesema; "Nimekutana na makundi ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia tunavyofanya na yanayotokea katika uchaguzi wetu. Jambo waliloliona kubwa zaidi ya yote ni kuwa nchi inakwenda kwenye uchaguzi bila kuonekana dalili zozote za vuguvugu la uvunjifu wa amani, wameshangaa sana na wametupongeza sana Tanzania."
 
Back
Top Bottom