City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,094
Huwa napenda kuuliza hili swali la raisi Bora. Mnatumia factors zipi kujua raisi bora huku dunia ya tatu iliyojaa umaskin?Angeweza kuwa Rais bora sana kutokea TZ, tena kuliko wengi walipigiwa kura, ila hakutaka na mda haurudi nyuma.
Umaskini unazuia kujua kiongozi bora? Uhitaji akili nyingi kujua kiongozi mbaya, angalia maamuzi anayofanya dhidi ya anaowaongoza.Huwa napenda kuuliza hili swali la raisi Bora. Mnatumia factors zipi kujua raisi bora huku dunia ya tatu iliyojaa umaskin?
Kama bado watu ni maskini wa kjutupwa huo uongozi Bora unakua na faida gani? Huo uongozi bora unakua kwenye nini? Kwani lengo la kuchagua kiongozi aongoze ni lipi kama sio kuinua ustawi wa watu wake?Umaskini unazuia kujua kiongozi bora? Uhitaji akili nyingi kujua kiongozi mbaya, angalia maamuzi anayofanya dhidi ya anaowaongoza.
Mungu akubariki SheikhUdini gani kaka, hamna kitu hapo ni kuhangaika tu.
Raia hiyo hoja walishaikataa toka mwanzo.
View attachment 3511363
Alioua hawakutambulika dini zao, na wameuliwa na kuzikwa kama mbwa!Udini gani kaka, hamna kitu hapo ni kuhangaika tu.
Raia hiyo hoja walishaikataa toka mwanzo.
View attachment 3511363
Kwenye hayo mafundisho yao pia kuna kipengele cha Mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi. Hii ndio itakuwa neutralisation reagent ya hoja ya udini. Contradiction over contradiction😀watu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!
Kuna kundi la Waislam hasa wale wanaoshinda msikitini na wale wasio na shughuli maalumu za kipato wameibeba kwa nguvu zote hoja hii na wanaiambukiza kwa wale kina mama na mabinti wanaowafundisha quarani!
Hawa mabinti na kina mama wanaovaa nikabu na ambao wana elimu mbalimbali huwaambii lolote kuhusu hii agenda
Wale vijana wanaoshinda msikitini na ambao elimu yao ni ya elimu mbalimbali hii agenda wameibeba kama ilivyo
Hili jambo ni kubwa na linapaswa kukemewa hasa hasa kwa hawa walimu wa madrasa! Hawa wanawalisha sumu mbaya ndugu zetu ipo siku tutachukiana.
Ukisikia watu wanaanza kumuuliza makamu wa Rais kana kwamba hawajui Boss akiongea amemaliza, ujue kuna hatari inatafutwa
Bunge lingekuwepo chap ni kura ya kutokuwa na imani na sirikali taifa lipone.Samia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini
Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.
Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya
Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
Wakristo sio wajina hata waislam wenyewe wanakiliSamia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana
Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini
Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe utekaji, utesaji, ufiraji na mwisho uuaji, japo bado
hazijazaa matunda nje nako wameanza kumkaba koo.
Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya
Wakristo wengine, swali la mwisho atafanikiwa!?
Mwambieni atubu mapema kabla muda haujaisha..Katikati ya hayo yote anamtambulisha mchezaji mwingine anaitwa udini kupitia
mashehe ubwabwa na watumishi feki, anajaribu kulitenga kanisa Catholic zidi ya Wakristo wengine.
Hakuna Udini wala nini hao ni matapeli wa kisiasa wanajaribu kipindisha story.Tunakoelekea kwakweli Mungu atusaidie ubaguzi wa udini upo wazi hadi serikalini wakristo hasa wakatoliki wanapitia kwenye changamoto kubwa!!
Kuna illusion ya hao wanaunga mkono hoja za udini wanayo hua wanafikiri kua wao watakua salama tukianza kutifuanawatu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!
Kuna kundi la Waislam hasa wale wanaoshinda msikitini na wale wasio na shughuli maalumu za kipato wameibeba kwa nguvu zote hoja hii na wanaiambukiza kwa wale kina mama na mabinti wanaowafundisha quarani!
Hawa mabinti na kina mama wanaovaa nikabu na ambao wana elimu mbalimbali huwaambii lolote kuhusu hii agenda
Wale vijana wanaoshinda msikitini na ambao elimu yao ni ya elimu mbalimbali hii agenda wameibeba kama ilivyo
Hili jambo ni kubwa na linapaswa kukemewa hasa hasa kwa hawa walimu wa madrasa! Hawa wanawalisha sumu mbaya ndugu zetu ipo siku tutachukiana.
Ukisikia watu wanaanza kumuuliza makamu wa Rais kana kwamba hawajui Boss akiongea amemaliza, ujue kuna hatari inatafutwa
Kipindi ambacho Tanzania ina mwamko mkubwa ni sasa, hii haitafaulu kama zamani... Itaenda na kuzima yenyewe. Hata hao hao unaowasema, ukikaa naona vizuri kuna muda wanaumia na kulaumu.watu mnaichukulia poa hii hoja ya udini lakini ukizama ndani zaidi kuna kundi linauunga mkono hadi unaweza kutukana mtu bure!