DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea urais kupitia chama C ha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi ujenzi wa tawi kama la Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete JKIC mkoani Geita ili kuhakiksha watu wa Geita wanapata matatibu ya moyo bila kutoka nje ya mkoa huo.
Rais Samia ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2025 katika mwendelezo wa kampeni za hicho mkoani Geita.
Rais Samia ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2025 katika mwendelezo wa kampeni za hicho mkoani Geita.