Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Tungekuwa na strong National intelligence kama USA au UK, Samia hasingekalia icho kiti,, SSH amegeuka kuwa adui wa taifa, amelitia aibu taifa, amelivuruga,amelibananga, amelitindinganya taifa letu.
Why Samia Suluhu Hassan ni Enemy of our state.
1. Samia ameua maelfu ya watanganyika kwenye MO29. SSH anajitetea eti waandamanaji walichoma Mali za watu, anasahau South Africa kulizuka maandamano ya kupinga kukamatwa kwa Jacob Zuma, na maandamano hayo yalikuwa na uharibu kuliko ya MO29, maduka, magari, supermarket,ofisi za Serikali katika miji ya Johannesburg zilichomwa moto. But serikali ya ANC haikuua waandamanaji.
2. Samia ameharibu uhusiano wa Tanzania na mataifa rafiki. Leo hii Canada, Marekani, Sweeden EU wote wanatukimbia. Nchi hizi zimekuwa zikitoa misaada Kwa Tanzania. Ata SSH, na watoto wake wamepata chanjo, na kufanyiwa tohara( Kwa me) Kwa msaada wa mabeberu.
3. SSH ameanzisha vikundi hatari vya utekaji, vikundi hivyo vikiongozwa na Mafwele,Muliro Na Bagemu, vimeongeza idadi ya mayatima Tanzania. Watu Hawa wanateka, wanaua, lawiti na kurekodi watu video za utupu.
4. SSH anapandikiza udini, hii inaliweka taifa letu kwenye hatari ya kuingia kwenye vita ya kidini kama Nigeria
5. Ameiba uchaguzi, amevuruga demokrasia, How come Samia alipata 31m votes? Yaani voter turnout kuwa kubwa kuliko chaguzi za 2005 na 2015? What a shame? What a disgrace?
Kwa haya machache ni wazi Samia ni adui wa hili taifa, na yeye ashalijua hilo, ni aibu Kwa taifa letu kuongozwa na mtu alieua watu wake kuliko Jean Pierre Bemba, Idd Amini Dada na Charles Tyler.
Kama alivyowai kunukuliwa raisi Biden kuwa Justice always prevail. Panapo majaliwa 10 years later,hao niliowataja watakuwa kwenye mkono wa Sheria.
Mto wa Mbu,
Illinois-USA.