Ndugu zangu watanzania naomba tusikubali kuona Mtanzania mwenzetu SPRIAN MSIBA mtetezi wa taifa letu dhidi ya wadhalimu wa taifa letu, akiteketea peke yake juu ya yaliyomkuta. Naomba kwa pamoja tushikamane kwa kuweza kumchangia kwa chochote kile ili tuweze kumshika mkono mtu huyu. Hiyo tumeona tuweke namba yake hiyo hapo 0655655599 ili kuhakikisha waweza kumchek moja kwa moja yeye mwenyewe pia. Unaweza kutuma pesa kwenye namba hiyo moja kwa moja. Kwa sababu kuwaacha wazalendo kama hawa wakipotea peke yao basi itakuwa ni kama kuwatia uoga wengine ambao watakuwa tayari kutetea wanyonge wengine. Hivyo kwa wale ambao walikuwa waamini wa JPM na hata wasio waamini lakini ni wazalendo wa kweli basi tushirikiane kumchangia mwenzetu kwa haya yaliyompata ili wengine nao wasije kuingia na uoga wa kuweka uzalendo wao mbele kwa kutetea taifa letu. Karibuni sana[emoji1431][emoji1431]
Mkuu,Ni watanzania sio Mimi mkuu. Wangepigia chama kingine kura CCM haingeshinda.
CCM ni ya wezi kweliMkuu,
Kwani CCM inashinda kwa Kura au wizi??
Angalia rais mstaafu anavyosema hapa:
Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya...www.jamiiforums.com
Eti ndio UzalendoYaani kabisa mtu achangie pesa yake yake ili walipwe maembe na yule mwanamke
Kutokana na katiba atakaa mpka 2030.hizi zingine ni blabla tuSamia Suluhu for PRESIDENT (2025-2035)
Maono yangu ni kua Mama Samia Suluhu ataongoza chini ya CCM hadi 2035 sababu yeye ni mzanzibar.
Kama rais wa Tanzania, ataweza kupeleka maendeleo Zanzibar kama vile Magufuli alivyopeleka maendeleo chato.
Uongozi wa CCM hadi mwaka wa 2035 utapea Kenya nafasi ya kuipa Tanzania gap ya kiuchumi ambayo itakua kubwa Mara tatu zaidi ilivyo sa hizi.
View attachment 2002311
Si magu ndio alichaguliwa 2020 sio mama? Mama atachaguliwa kwa mara ya kwanza (2025-2035)Kutokana na katiba atakaa mpka 2030.hizi zingine ni blabla tu
Kwahiyo wewee ndio umebeba kapu la mawazo ya wananchi sioTatizo la wengi hawajui wananchi wanafikiri nini awamu hii ila yajayo yanafurahisha
Acha kudanganya watu.Si magu ndio alichaguliwa 2020 sio mama? Mama atachaguliwa kwa mara ya kwanza (2025-2035)
Leta ukweli basiAcha kudanganya watu.
Ukweli ni kuwa anaweza kugombea mara moja tu.Leta ukweli basi
Leta kipengele cha katibaUkweli ni kuwa anaweza kugombea mara moja tu.
Anadaiwa Bei gani jumla?Ndugu zangu watanzania naomba tusikubali kuona Mtanzania mwenzetu SPRIAN MSIBA mtetezi wa taifa letu dhidi ya wadhalimu wa taifa letu, akiteketea peke yake juu ya yaliyomkuta. Naomba kwa pamoja tushikamane kwa kuweza kumchangia kwa chochote kile ili tuweze kumshika mkono mtu huyu. Hiyo tumeona tuweke namba yake hiyo hapo 0655655599 ili kuhakikisha waweza kumchek moja kwa moja yeye mwenyewe pia. Unaweza kutuma pesa kwenye namba hiyo moja kwa moja. Kwa sababu kuwaacha wazalendo kama hawa wakipotea peke yao basi itakuwa ni kama kuwatia uoga wengine ambao watakuwa tayari kutetea wanyonge wengine. Hivyo kwa wale ambao walikuwa waamini wa JPM na hata wasio waamini lakini ni wazalendo wa kweli basi tushirikiane kumchangia mwenzetu kwa haya yaliyompata ili wengine nao wasije kuingia na uoga wa kuweka uzalendo wao mbele kwa kutetea taifa letu. Karibuni sana[emoji1431][emoji1431]
Hahahaha bajeti ya Wizara nzima ya AfyaAnadaiwa Bei gani jumla?