Samia scholarship

TrueVoter

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2008
Posts
4,157
Reaction score
5,109
Naomba ufafanuzi kutoka wizara ya elimu..
1. Nani ni Mwenyekiti wa bodi ya Samia scholarship.
2. Lengo kuu la Samia scholarship ni nini, kitu gani cha tofauti ambacho Samia scholarship inafanya ambacho Student Loan's Board haifanyi..
3. Nini chanzo cha mapato cha Samia scholarship..
Sielewi kwa nini kila kunapokuwa na rais muislamu kunaanzishwa taasisi binafsi zenye malengo yanayofanana na taasisi za serikali zilizopo, mf. Taasisi ya mama salma kikwete ilianzishwa wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais, hakukuwepo taasisi ya aina hii wakati Magufuli akiwa Rais, Samia scholarship imeanzishwa wakati Samia ni Rais..kwa nini inatokea hivi?
Mtu akisema hizi taasisi zinaanzishwa kwa ajenda za kidini atakuwa anakosea?
Asante.
 
SIongezi, Sipunguzi kitu, Hakika Umenena!
 
Money laundry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…