PostGE2025 Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!

Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.

Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
 
Baada ya Wakenya na Chadema Sasa katoliki ukweli una speed ya Kobe lakini haujawahi kushindwa kufika mwisho. Watati anakula kiapo alisema ni wahalifu wa chache kutoka nchi jirani. Ghafla akaweka viongozi wote wa chadema ndani ghafla wakaachiliwa. Sasa ni KATOLIKI maisha aya dunia tunapita
 
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!

Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.

Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
Taifa linangamia kwa kuendekeza uchawa na machawa,na kuwapatia majukumu muhimu ya taifa hili huku uwezo,na uadilifu na hata ufahamu wa utumishi wao kwa wananchi na taifa ukiwa unakosa kama sii uwezo,uadilifu.Tujirekebishe kama taifa,ile kauli kujua kusoma na kuandika pekee inatosha tuilaani kwa nguvu zote na iwe fundisho kuwa taifa linavihitaji vipaji vya watu wataifa hili ili kuliepusha na maafa na ukosefu wa kimaadili ya kiuongozi na kiutumishi.
 
Samia alikosea ila TEC wamekosea zaidi, kanisa katoliki ndio lilichangia machafuko ya Rwanda na limefanya hivyo Congo.
Ukiacha Mange na group lake la Ughaibuni , Mama Samia na Kanisa Katoliki Lina tupeleka kwa Kasi kwenye machafuko ya wenyewe.
 
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!

Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.

Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
Watu wenye elimu za hapa na pale
 
Wakatoliki (TEC) hawakwepi kwenye hili ndo ukweli

Nikikwambia unipe sababu za kila kitu mpaka hapa tulipo unaiindoaje KATOLIKI kama unaakili??
 
Inakuaje baada ya kuanguka unaanza kuwalaumu waliokupa maonyo? Kwamba ndiyo wamesababisha uanguke!! Huko ni kukosa aibu na ubaya wa waziwazi.
 
Kazi ya Abdul. Amewalipa machawa wanasbaza chuki kubwa sana dhidi ya viongozi wa hizo dini za wakiristu. Sioni efforts za kutafuta amani ya kweli wanauohubiri watu wa CCM.
 
Shida yake anafikiri fedha inaweza kumnunua kila mtu. Ameshindwa kumnunua Lissu, na vivyo hivyo ameshindwa kuwanunua TEC.

Bakwata wenyewe na wale wahadhiri wao uchwara tangu waingizwe kwenye payroll, wanatamani hata kumlamba miguu hadharani!!
 
TEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe

Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!

Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.

Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
 
TEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe

Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
Kwanini msimteke kama jadi yenu? Mara wageni mara Chadema sasa hivi ni Kanisa. Mtasema yote na bado
 
TEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe

Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
Kwa hiyo ukemeaji utekaji na Mauji na Ufisadi kumbe vinaweza kutupeleka kwenye machafuko
 
Back
Top Bottom