Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema ili kuliponya Taifa amechukua hatua kadhaa ikiwemo kuanzisha Wizara ya Vijana iliyopo chini ya Ofisi ya Rais, kuwaachia huru watuhumiwa wa kesi ya Uhaini na kuanzisha Tume Huru ya Uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29.
Samia ameyasema hayo katika hafla ya kufungua Mwaka na mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, leo Januari 15, 2026 Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.
Samia ameyasema hayo katika hafla ya kufungua Mwaka na mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, leo Januari 15, 2026 Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.