Samia ni Rais wa wafanyabiashara

Matajiri wapi hao wa kuwatoa kimaisha maskini? Hawa wahindi, wachina na warabu?Tajiri anaelipa ujira wa buku 6 kwa masaa 12 ndio atakaemtoa mtu katika umaskini?

You are completely doomed kama unafikiri hao matajiri wa bongo wana msaada na masikini zaidi ya kuwanyonya na kuwa paralyse kiuchumi. Zaidi ya kunyanyasa wabongo impact ya hao matajiri ni ndogo sana kwenye mafanikio ya mtu mweusi.
 
Kwa kuwa wewe ulamba posho kupitia siasa na kupiga Domo tu ndo maana unaona sekta binafsi wababaishaji na hawaitajiki siku ukikosa nafasi kwenye siasa ukiingia kwenye sekta binafsi ndo utapata akili maana saizi umezikalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sera za ujamaa sio mbaya ila application yake iko dated. Ubepari ni mzuri kama utajali misingi ya demokrasia na utu.

Watu wafanye biashara ndio ila mbinu chafu za kugandamizana zisiwepo. Chombo cha kuwajibisha watu kiwe imara na chenye meno bila kujali nani kafanya nini. Hilo tu ndio tunataka.

Style ya JM ilituletea matumaini kwani hata wale waliokuwa untochable walinyooka na tuliheshimiana.
 
Acha uongo mkuu?
Wewe, na hayati Jiwe, ni wafuasi wa siasa za za POL POT! 😅
NB: Pol Pot alijaribu kubase uchumi wote wa Kambodia vijijini kwenye eneo dogo sana la 'peasant agriculture'! ... he killed millions but still failed miserably!
 
Wewe hujui dynamics za uchumi. Ubabaishaji na kuiba hela ya kodi inadumaza maendeleo. Mimi sina shida na sekta binafsi yenye kuongeza thamani kwenye uchumi na sio kutransfer hela ya umma kwao kwa dili sisizokuza uchumi. Kwenye nchi nyingi za kiafrika kuna tabaka la wezi na wanyonyaji badala ya sekta binafsi yenye kukuza uchumi wa nchi. Matokeo yake wananchi wanazidi kua fukara huku wachache wananeemeka.
 
Itategemea skills zako unazopeleka kwa Mhindi na negotiation capabilities zako. Kama wewe porter wa Mhindi unatarajia ulilipwe Tsh 100,000 kwa siku?

Secondly unaweza ukawa professional unalipwa hata Tsh 300,000 kutwa lakini kama inakwenda kulewea na kuhonga utapotea tu na huwezi kutoka. Wahindi wanafanikiwa kwa sababu za skills zao, uaminifu na discipline ya kuiweka akiba
 
Wewe Rais wa Wakulima uliwasaidia nini?

Tunaomba mtaje jinsi nyie mlivyosaidiwa na Rais wa wanyonge maana Samia ameamua kuwasaidia wakulima kama hivi [emoji116]
Wewe Jamaa unaonekana unalipwa pesa nyingi Sana Kwa hii kazi unayofanya.
 
We unaona ni sahihi kwa muhindi kukulipa 3OO,OOO ikiwa kwa quater tu unamfungia hesabu za 4OOM-1B in profits? Hawa wanyonyaji wafurushwe tu hawana mchango wowote wa maana zaidi ya kufaidisha mafisadi serikalini.
 
Rwanda na Kenya unazitolea mfano kuwa nchi zilizoendelea?
Kama siyo kuwa na tope kichwani, huko ndani ya fuvu kuna nini?

"Chuki dhidi ya wafanya biashara aliijenga Nyerere na sera zake mbovu za Ujamaa..." Hao Rwanda unaowasifu kuendelea hujui historia yao katika maendeleo yao hayo unayoyaona wewe?
 
Acha uongo mkuu?
Wewe, na hayati Jiwe, ni wafuasi wa siasa za za POL POT! 😅
NB: Pol Pot alijaribu kubase uchumi wote wa Kambodia vijijini kwenye eneo dogo sana la 'peasant agriculture'! ... he killed millions but still failed miserably!
Sasa hata heshima ndogo niliyokuwekea naona unaiondoa mwenyewe.
Unadhani ukiweka "Pol Pot" hapo utaonekana mtu mjuaji wa mambo?

Onyeshha "uongo" niliouweka hapo ni upi.
Hovyo kabisa watu wengine.
 
Sasa hata heshima ndogo niliyokuwekea naona unaiondoa mwenyewe.
Unadhani ukiweka "Pol Pot" hapo utaonekana mtu mjuaji wa mambo?

Onyeshha "uongo" niliouweka hapo ni upi.
Hovyo kabisa watu wengine.
Wewe ni muongo! ... mtu uko town, halafu sio mnyonge ila mjanjamjanja unayejificha nyuma ya wanyonge na kuwatumia kisiasa vilivyo! 😅
 
Kama unaziona Kenya na Rwanda hazijaendelea basi sisi tutakuwa tumerudi nyuma kabisa maana Kenya imetupita kiuchumi na Rwanda inakuja kutupita. Tumekwamishwa na sera mbovu za Ujamaa.
 
We unaona ni sahihi kwa muhindi kukulipa 3OO,OOO ikiwa kwa quater tu unamfungia hesabu za 4OOM-1B in profits? Hawa wanyonyaji wafurushwe tu hawana mchango wowote wa maana zaidi ya kufaidisha mafisadi serikalini.

Sasa basi na wewe kaanzishe biashara halafu uwalipe wafanyakazi wako hela unazoona ni sahihi. Maana unaposema wahindi wafurushwe basi hata hiyo 300,000 hao wafanyakazi wataikosa. Na wahindi wakifukuzwa hao mafisadi watawageukia Wachina au Waturuki au wengine wanaokuja kuwekeza. Ufisadi umeletwa na urasimu uliojengwa na mfumo mbovu wa Ujamaa.
 
Mimi sina mtaji ila siwezi ingiza faida ya million 4OO halafu nikalipa watu 3OOk wakati najaua haitoshi kwa lolote.
 
Mimi sina mtaji ila siwezi ingiza faida ya million 4OO halafu nikalipa watu 3OOk wakati najaua haitoshi kwa lolote.

Hata hao wahindi hawakuanza na biashara kubwa ya milioni 400. Walikuja maskini wakajenga taratibu mpaka wamefika hapo walipo. Tena walipata dhoruba nyingi tuu kwenye safari zao maana wa Zanzibar waliporwa mali zao baada ya mapinduzi, wa bara waliporwa mali zao baada ya Azimio la Arusha. Leo wengi wamezirudisha na wameziongeza na waporaji akina Nyerere na Karume walikufa maskini.
 
Kama unaziona Kenya na Rwanda hazijaendelea basi sisi tutakuwa tumerudi nyuma kabisa maana Kenya imetupita kiuchumi na Rwanda inakuja kutupita. Tumekwamishwa na sera mbovu za Ujamaa.
Naona ulichobaki naloo ni hilo la wimbo wa "ujamaa"; unalolirudiarudia kama santuri mbovu!

Sina muda na takataka hizi.
 
Naona ulichobaki naloo ni hilo la wimbo wa "ujamaa"; unalolirudiarudia kama santuri mbovu!

Sina muda na takataka hizi.

Takataka ni huo Ujamaa uliotukwamisha. Nchi ina ardhi kubwa, ina rasilimali kibao, watu tele lakini tumekwama baada ya miaka 60 ya uhuru.
 
Takataka ni huo Ujamaa uliotukwamisha. Nchi ina ardhi kubwa, ina rasilimali kibao, watu tele lakini tumekwama baada ya miaka 60 ya uhuru.
Enough of this nonsense.

Huna cha maana unachoongeza katika michango yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…