Ningelushangaa kama Makamba asingetajwa hapa!Mkuu si unaona wanavyosaidia kugawa mitungi ya gesi bure kwa wananchi. Ngoja tuone sustainability ya matumizi ya mitungi hiyo kama wataendelea ku refill.
Nasubiri uingie utawala mwingine ugeuke na kuanza kuponda tena, kwasasa endelea kuimba mpambio.Mawazo Duni kabisa kuwahi kupostiwa Jamii Forum.
Kwanini wakati wa Royal Tour hukusema Samia ni Raisi wa Watalii? au Raisi wa Wanyamapori?Nasubiri uingie utawala mwingine ugeuke na kuanza kuponda tena, kwasasa endelea kuimba mpambio.
Wapi kuna jina la Makamba kwenye comment yangu mkuuNingelushangaa kama Makamba asingetajwa hapa!
We Ni bogus kabisa, Naona mlizoea jiwe alivyokuwa ananyanyasa wafanyabiashara, mnadhani na Samia Ni punguani wakufanya huo ujinga, Nchi inaitaji Kodi hili isonge mbele kiuchumi na kadhalika, Sasa isipowajali wafanyabiashara unataka ikujali wewe mpiga keleleUkiona rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara.
Hivi katika nchi kama tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi?
Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania unahitaji kuwatetea wafanyabiashara au kuweka sheria kuwadhibiti?
Juzi rais kasema eti wafanyabiashara wameenda wizara ya afya kutaka kupewa kazi wanazungushwa. Sasa anataka wapewe tu dili hata kama hakuna kazi wanayotaka. Yani raha yake ni private sector wapate tu hela toka serikalini hata kama hakuna thamani yoyote wameipa serikali.
Rais mwenye atitude ya upigaji hela ya umma atatuangamiza.
Sekta binafsi ya tanzania imejaa ubabaishi tele na haina weledi wala uadilifu. Wamejitune kuibia serikali tu. Kwa nini sekta binafsi isikomae kufanya kazi kwenye sekta yenyewe?
Tunajua wenyewe wanajuana na wako makini kupeana kazi. Hawa wezi wanaopitia kwa wanasiasa ndio wanasumbua.
Rais lake kubwa iwe kutetea maslahi ya umma. Wakulima wavuvi wafanyakazi. Hawa ndio wanahitaji usaidizi wa serikali yetu. Sekta binafsi inajua kujilinda na kujitetea.
Pia mipango namna ya wao kutumika kufaidisha uchumi ipo sio rais kila siku kupigia chapuo wababaishaji kama ndio sekta binafsi.
Ngojeni mka supply hewa serikalini maana ndicho kitu mnapenda๐We Ni bogus kabisa, Naona mlizoea jiwe alivyokuwa ananyanyasa wafanyabiashara, mnadhani na Samia Ni punguani wakufanya huo ujinga, Nchi inaitaji Kodi hili isonge mbele kiuchumi na kadhalika, Sasa isipowajali wafanyabiashara unataka ikujali wewe mpiga kelele
Imagine huyo ndio alikuwa tegemeo la Lisu kwenda ikulu na aliapa atafanya chochote Lisu asiposhinda urais!Nasubiri uingie utawala mwingine ugeuke na kuanza kuponda tena, kwasasa endelea kuimba mpambio.
Mimi ni Mpinzani na mkianza kuleta Nyuzi za Kipoyoyo kuhusu Mama lazima niwanyuke na ukweli.Imagine huyo ndio alikuwa tegemeo la Lisu kwenda ikulu na aliapa atafanya chochote Lisu asiposhinda urais!
Yani Lisu ana hasara sana
Sasa huyo mama yako anatuhusu nini sisi??Mimi ni Mpinzani na mkianza kuleta Nyuzi za Kipoyoyo kuhusu Mama lazima niwanyuke na ukweli.
Ulitaka awe Rais wa akina nani? Hao wafanyabiashara ndio wanalipa Kodi.Mkuu si unaona wanavyosaidia kugawa mitungi ya gesi bure kwa wananchi. Ngoja tuon