Samia ni Nero wa Tanzania!?

Tatizo letu ni kwamba kila rais (baada ya Nyerere) anachukiwa sanaaaaaaa akiwa madarakani , halafu akiondoka wanamuona jembe
Mwinyi
Mkapa
Jakaya
Magu

Wote walionekana wabaya

Let see
Ukiona rais anachukiwa tambua kuwa kuna idadi ya wasomi inaongezeka kila awamu ya rais pale ikulu.

Mawazo yenye kuhoji yanatoka kwa watu waliokwisha kufunguka vichwani kwa maana ya kuelimika.

Rais anayeongoza nchi yenye kupiga hatua hawezi kukwepa kukosolewa.
 
Tatizo letu ni kwamba kila rais (baada ya Nyerere) anachukiwa sanaaaaaaa akiwa madarakani , halafu akiondoka wanamuona jembe
Mwinyi
Mkapa
Jakaya
Magu

Wote walionekana wabaya

Let see
Jakaya.hamna lolote huyo ni kana bi Tozo tu
 
Mara ya kwanza sikumuelewa mtikila na Lisu walipokuwa wanamsema Nyerere lakini baaad ya kusoma kitabu cha kwa kheri ukoloni kwa kheri uhuru ni kaona Nyerere hakuwa mzuri hivo kama anavyo imbwa
 
Mara ya kwanza sikumuelewa mtikila na Lisu walipokuwa wanamsema Nyerere lakini baaad ya kusoma kitabu cha kwa kheri ukoloni kwa kheri uhuru ni kaona Nyerere hakuwa mzuri hivo kama anavyo imbwa
Nyerere alikuwa mwasisi wa Taifa, ilikuwa ni vigumu sana kwa watanzania kumkubali Nyerere. Kuanza kujenga nchi kuanzia chini kabisa ni mtihani mzito haswa kwa mataifa ya kiafrika ambayo miaka hiyo ya 60 asilimia zaidi ya 90 ya raia walikuwa wakiishi kwenye nyumba za nyasi.

Kila mtu anayo TZ yake kichwani ambayo angependa aione inakuwa kwa misingi anayoijua yeye inayomuwezesha kuwa na mawazo hayo anayokuwa nayo, ni ngumu sana kwa nchi ya aina hiyo kuwa na rais anayekubalika kwa wote.
 
Tatizo letu ni kwamba kila rais (baada ya Nyerere) anachukiwa sanaaaaaaa akiwa madarakani , halafu akiondoka wanamuona jembe
Mwinyi
Mkapa
Jakaya
Magu

Wote walionekana wabaya

Let see
Hapana...wote wana mapungufu na wana maeneo waliofanya vizuri...
 
Ni kweli lakini, nacho ongolea ni maamzi yake ya kutawala kama nchi ni familia na anayempinga kama kambona, kina bibi titi aliwapa adhabu hakutaka mawazo mbadala
 
Kweli akili yako imejaa kinyesi, huu uharo wote umetoka kichwani mwako? Samia ndiye Rais anayependwa sana Tanzania. Ni nyumbu wapumbavu km wewe unaweza kumchukia. Utamchukia mama mchapakazi, mwenye akili, mstaarabu km Samia? We unaumwa
 
Sawa binti wa Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…