GE2025 Samia: Mkiweka madiwani wa vyama vingine, maendeleo yatachelewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Urais wa Tanzania, akizungumza Maganzo, Kishapu Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 alisema:

"Ilani niliyomkabidhi Mgombea Ubunge ni ya Kitaifa na ya Mkoa na Madiwani pia nimewapa Ilani ndogo za Mkoa wa Shinyanga. Ombi langu msiende kuwachanganya, mkienda mkawawekea Madiwani hawa watu wa Vyama vingine maendeleo yatachelewa.

Watakuwa wanabishana kwenye vikao, wale wenzetu wanasema sio, hawa wanasema maelekezo ya serikali ni haya. Ombi langu tarehe 29 kachagueni Mgombea Urais wa tiketi ya CCM, kachagueni Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi lakini pia Madiwani wote wa Kata zenu kwa Chama Cha Mapinduzi. Mkifanya hivyo tutakwenda kwa kasi ile ile ya kipindi cha kwanza cha awamu ya sita."

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Ilani niliyomkabidhi Mgombea Ubunge ni ya Kitaifa na ya Mkoa na Madiwani pia nimewapa Ilani ndogo za Mkoa wa Shinyanga. Ombi langu msiende kuwachanganya, mkienda mkawawekea Madiwani hawa watu wa Vyama vingine maendeleo yatachelewa. Watakuwa wanabishana kwenye vikao, wale wenzetu wanasema sio, hawa wanasema maelekezo ya serikali ni haya. Ombi langu tarehe 29 kachagueni Mgombea Urais wa tiketi ya CCM, kachagueni Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi lakini pia Madiwani wote wa Kata zenu kwa Chama Cha Mapinduzi. Mkifanya hivyo tutakwenda kwa kasi ile ile ya kipindi cha kwanza cha awamu ya sita."

Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Urais wa Tanzania, akizungumza na maelfu ya wananchi wa Maganzo, Kishapu Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua

Share na mwenzako
 
Wakuu,

Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Urais wa Tanzania, akizungumza Maganzo, Kishapu Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 alisema:

"Ilani niliyomkabidhi Mgombea Ubunge ni ya Kitaifa na ya Mkoa na Madiwani pia nimewapa Ilani ndogo za Mkoa wa Shinyanga. Ombi langu msiende kuwachanganya, mkienda mkawawekea Madiwani hawa watu wa Vyama vingine maendeleo yatachelewa.

Watakuwa wanabishana kwenye vikao, wale wenzetu wanasema sio, hawa wanasema maelekezo ya serikali ni haya. Ombi langu tarehe 29 kachagueni Mgombea Urais wa tiketi ya CCM, kachagueni Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi lakini pia Madiwani wote wa Kata zenu kwa Chama Cha Mapinduzi. Mkifanya hivyo tutakwenda kwa kasi ile ile ya kipindi cha kwanza cha awamu ya sita."

Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Urais wa Tanzania, akizungumza Maganzo, Kishapu Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 alisema:

"Ilani niliyomkabidhi Mgombea Ubunge ni ya Kitaifa na ya Mkoa na Madiwani pia nimewapa Ilani ndogo za Mkoa wa Shinyanga. Ombi langu msiende kuwachanganya, mkienda mkawawekea Madiwani hawa watu wa Vyama vingine maendeleo yatachelewa.

Watakuwa wanabishana kwenye vikao, wale wenzetu wanasema sio, hawa wanasema maelekezo ya serikali ni haya. Ombi langu tarehe 29 kachagueni Mgombea Urais wa tiketi ya CCM, kachagueni Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi lakini pia Madiwani wote wa Kata zenu kwa Chama Cha Mapinduzi. Mkifanya hivyo tutakwenda kwa kasi ile ile ya kipindi cha kwanza cha awamu ya sita."

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hizi habari za kibaguzi ndani ya taifa letu iwe ni kwa mrengo wa kiitikadi,kiuchumi,kisiasa ama vinginevyo ni sababu zinazothibitisha chama chako,chama chenu hakistahili kuliongoza taifa hili na watanzania kwa ujumla,kwani kwa mamna hiyo huenda hata familia yako unaibagua ,mfano unaweze kuwa unaamini katika ufisadi hivyo utampa thamani mwanafamilia anayeamini katika mrengo huona kumchukia anayepinga ufisadi japo wate ni wanafamilia yako!
 
Na hapo akisogea pembeni anawadanganya tena watu kwa kuaambia eti kuna 4R!! Hii nchi ni ngumu sana kuishi kama una akili timamu.
 
Back
Top Bottom