Samia leo umenikwaza mno mno mno

Samia leo umenikwaza mno mno mno

no ndugu maandamano sio mabaya kabisa , israel waliandamana watu laki 6 kudai miili ya ndugu zao hawakuvunja hata glass , sisi kila sehemu ilikuwa moto ushenzi kabisa, vituo vya polisi mwendo kasi TRA, Mabasi malori mabaa ya watu binafsi wizi mtu ujambazi ushenzi , uharamia , ukibaka mtupu
Waliofuatwa Majumbani mwao je? Huwezi halalisha uovu kwa uovu..
Pengine hata wewe yangeweza kukukuta.. Ongea kama haikuhusu.. lakini ipo siku utagundua hukua sahihi.
 
Waliofuatwa Majumbani mwao je? Huwezi halalisha uovu kwa uovu..
Pengine hata wewe yangeweza kukukuta.. Ongea kama haikuhusu.. lakini ipo siku utagundua hukua sahihi.
upo sahihi sana lakini ukiangalia yote yameanza baada ya vibaka kulianzisha, mbona wakati mwingine hilo halijitokezi?
 
Back
Top Bottom