Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,469
- 14,772
Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akipata ridhaa ya kupewa Miaka Mitano zaidi atahakikisha anajenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa katika visiwa vya Pemba ili kufungua zaidi kisiwa hicho kiuchumi na kuongeza watalii ambapo uwanja huo utaruhusu ndege kubwa kabisa kutua katika uwanja huo kutoka mataifa mbalimbali Duniani.