Magufuli alikuwa kutwa nzima kuanzisha miradi na kuzinduwa miradi,lakini hakuwa na mda wa upuuzi kama huu,mwanaye anasema baba yake alikuwa halali kwa ajili ya kupitia mafairi,ile ilikuwa akili kubwa na tuliona maendeleo,huyu Mama kiatu cha Urais hakimtoshi akitaka awapishe wengine yeye aje awe waziri wa Sanaa utamaduni na michezoSAMIA KALAMU AWARDS 2025
๐น๐ฟMGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
๐ The Super Dome - Masaki
๐ 5 Mei, 2025
๐ Kuanzia saa 12:00 jioni
View attachment 3324288
View attachment 3324289
View attachment 3324290
Mkuu nimekupa angalizo kama utaendelea matokeo utakayoyapata itakuwa ni juu akohaitozuia kuambiana ukweli. Mimi naheshimu kila mtu humu ndan labla uanze kuniheshimu kama navyoheshimu kila mtu.
Mswahili amezoea kushinda kwenye mikeka kupiga hadithiMagufuli alikuwa kutwa nzima kuanzisha miradi na kuzinduwa miradi,lakini hakuwa na mda wa upuuzi kama huu,mwanaye anasema baba yake alikuwa halali kwa ajili ya kupitia mafairi,ile ilikuwa akili kubwa na tuliona maendeleo,huyu Mama kiatu cha Urais hakimtoshi akitaka awapishe wengine yeye aje awe waziri wa Sanaa utamaduni na michezo
Kwa mda mfupi washindani wetu wametupiga gape kubwa sana,kielimu,kiuchumi na kila kitu,inchi imegeuka ya kichwa na vipigo kwa polisi,Mungu inusuru Tanzania
mkuu usinipe maangalizo mimi na unachelewa kunipa hayo matokeoMkuu nimekupa angalizo kama utaendelea matokeo utakayoyapata itakuwa ni juu ako
Haya mkuu matokeo yakiwa mabaya usilalamike mzee Netanyahu unanioneamkuu usinipe maangalizo mimi na unachelewa kunipa hayo matokeo
Vichwa vyote kama kina Tundu lissu Mwambukusu wapo tu,halafu tunasema inchi yetu maskiniMswahili amezoea kushinda kwenye mikeka kupiga hadithi
Mfumo unataka watu wala rushwaVichwa vyote kama kina Tundu lissu Mwambukusu wapo tu,halafu tunasema inchi yetu maskini
Sawa NetapussyHaya mkuu matokeo yakiwa mabaya usilalamike mzee Netanyahu unanionea
Mkuu wa wiaya anahimizza usafi wa maxingira kisha anaweka bango lenye picha yake na ya raisi . Trna mbele ya geti la ikuluUjinga ujinga